Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

uwe una hela uwe huna!.. ukiletewa papuchi ww kojolea tu! mambo ya mapenzi ni attachment za kijinga tu!
. love lasts, mwanamke akipata msela mwenye hela ataanza kutafuta attention n.k toka broke guys! akiwa na broke nigga atatafuta rich guy!..

hvi viumbe havieleweki kwahyo ukiletewa mbususu ww kamua tu!.. na usingaike kujionesha kidume hutapewa tuzo!
 
Comment zote konki sema mapenzi duara umpendaye anampenda mwingine n uyo mwngn anmpnd mwngn ivyo yani.ukipendwa pendeka utakua ushamaliza matatizo
 
Demu itakuwa reception haisomeki au age imejongea, yaani w'ke hawa pisi kali akuheshimu na pesa anayo!
Wapo, inategemea makuzi yake. Sio wote wana mawazo ya kimasikini au ya kujimwambafy
 
Sababu mbalimbali,
Anakukataa kwa dharau Sana,kwa sababu anakuona tu kwamba huna chochote kwa wakati huo kwa sababu huna tabia za kujiinua,
Lakini baada ya siku kadaa anagundua kwamba uko vizuri,anaaza juhudi za kutaka kukukubali.


Anakukataa kwa sababu huna kitu kwa wakati huo kwa sababu labda ulikua kimasomo zaidi,au unatafuta faranga,kimwonekano hukua vizuri,
Baada ya muda Fulani,kupita unapata maisha baaab kubwa,anaanza kukutafuta ili akukubali,


Anakukataa kwa sababu unaonekana upoupo tu,lakini kwa bahati anasikia habari zako,kutoka kwa watu anaowaamini,anaowakubali na anao watamini sana wakikusifu sana,kuwa wewe ni mtu wa maana kabisa,mtu Bora kabisa.
Kisha akaanza harakati za kutaka kukukubali.
Ulishawahi kukutana na Hali hizo?



Ulipokutana na mtu au watu wa hivyo ulichukua uamuzi gani?
Nimekataliwa jana.
Ndo nasubiri nipate kitu kwanza
 
Kwakweli mimi siwezi kuwa na mahusiano rasmi na mwanamke aliyenizidi pesa labda tuwe no strings attached.
Lakini eti niwe serious kabisa, siwezi nitakuwa najifeel insecure eeeh eehe eehe kama sauti sol
 
Love is an emotional attachment
Yes, bila emotional connection hakuna mapenzi,
Huwezi kutumia pesa tu, maana yake utafanya love kuwa transactional-

yani mahusiano yenu hayaendi bila , pesa ndio ina wa conncet badala ya upendo..

Japo kuwa ni muhimu kuwa imara kuichumi inaisaidi kumuaminisha mwanamke kisaikolojia kuwa yupo sehemu salama yeye pamoja na kizazi chake mtakachoanzisha kita survive..
 
Kwakweli mimi siwezi kuwa na mahusiano rasmi na mwanamke aliyenizidi pesa labda tuwe no strings attached.
Lakini eti niwe serious kabisa, siwezi nitakuwa najifeel insecure eeeh eehe eehe kama sauti sol
Ni kweli kwenye mahusiano ya mwanamke kumzidi Me kipato ni insecurities tu ndio husababisha mahusiano kuvunjika.

Insecurities zinamfanya mwanaume apoteze confidence,

ukipoteza kujiamanini hakuna mwanamke atavutiwa na wewe kukuheshimu wala kukupenda na huo mdio huwa mwisho.
 
Aisee wee hujui wanawake...trust me wapo wametoka middle class lakini mapenzi hamna wanaangalia uwezo wa kidume financially.

Usijidanganye kabisa women poor or rich majority wanaangalia mwanaume ana nini na sio kwamba wanapenda.
Ni kweli mwanamke anataka security, na security ya kwanza ni uwezo wa kifedha alionao mwanaume. Ndio maana kama umenisoma vizuri, watu wakishakuwa na uwezo, say from middle class families walau, wote watakuwa wanajitosheleza hivyo hoja ya uwezo tutaifuta, tutaangalia upendo au hisia tu. Yaani kidume hakitatafuta mwanamke based on her pockets na dada zetu watakuwa huru kutafuta mwanaume kwa vile pesa haipo kwenye equation.

Sasa mimi natoka familia hoi, maisha yangu hoi, mwanamke akinikubali ni kwa vile pamoja na ufukara wangu lakini kuna kitu tu kaona kwangu. Aside from that pesa ni mhimili uliojichimbia chini kuliko mingine.
 
Kuna mmoja alinikataa kwa sababu nina kitu akanitafuta na kunikubali wakati sina kitu.
 
What happened mkuu? Tupe hints japo kidogo.
Yani we acha tu aise...
Nikikumbuka tulivyokuwa tunakula ugali na maji yenye chumvi😔😔😔sitamani wanangu wapite huko aiseh ni maumivu lakini pia imenifundisha maisha.

Kwa ufupi maisha niliyoyapitia yamekuwa funzo tosha..ndo mana nikimuona mtu anapitia shida hasa mama na mtoto natesekaga sana.naumia zaidi nikiwa sina uwezo wa kumsaidia kwa kipindi husika.😭😭

lakini mtu akiona miandiko humu ndani anajua huyu wa kishua haijui shida😄😄my friend acha tu aise.

Shukrani za dhati kabisa zimuendee dear Ex kwa kunionesha mwanga wa maisha.Mungu amtunze,amfungulie kila aina ya kifungo kilichofungwa juu yake bila yeye kujua,aendelee kuwa mzima wa afya maradhi yapite mbali nae,aishi maesha marefu yenye afya na uzima,milango ya Baraka ikafunguliwe juu yake,Baraka tele zikamiminike katika uzao wake Amen.
J,Mungu akutunze mwamba unamoyo wa ajabu mno.
 
Alaa kumbe? Basi enjoy the karma!

Wanaume wengi sijui kwanini huwa hamtaki kukubali kuwa what goes around comes around! Yaani wewe uwe mzee wa hit and run kuumiza watoto wa wenzio halafu wewe ukiumizwa uone kama unaonewa?
Si ndo hapo sasa
 
Halafu bado unakuta huyo mwanaume anamcheat! Hamnaga shukurani ninyi viumbe acheni tu mdharauliwe mkizikosa!
Kuna dada namfahamu ni kisu hatari kwa muonekano mwanaume huwezi chomoa kama unapenda toto zuri lenye jisambwanda.

Huyo mume wake sasa😀😀ni wakawaida kuliko hata hiyo kawaida yenyewe..lakini mwamba kutwa kucha anachepuka na watu ambao huwezi amini.

Mpka mtu ukimuangalia huyo mwamba unatamani uchukue mundu umkate ile chululuu yake!manina zake.
 
Back
Top Bottom