Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Wanawake aki kuomba pesa mara 2 3 na hujampa... utaona majibu yake yana badirika
Unajua Chief kuna ile kweli huna pesa na ninaona..lakini kuna ile pesa unayo ila imeshikana na roho😄😄majibu kubadilika hiyo ni obvious
 
Dah mapenzi yatoe hapo.. ibaki biashara ya uchi tu. Lakin siku Mungu akikupa pesa mingi, hautotamani tena kuwa na Bwana mwenye pesa mingi zaidi yako. Utatamani upate tu mtu anaekupenda kwa dhati. Hivyo tunaweza kubaliana ni umasikini wetu unasababisha utamani kuwa na mtu mwenye unafuu zaidi yako wa kimaisha
Mimi uwaga nina neno moja... si wataje bei wanayo uza watu tupande dau... kuliko kuzungushana alafu kumbe ni biashara flani isio rasmi [emoji3]
 
Hebu wanaume tafuteni pesa.hii mambo ya kiuno msingi hayafai kabisa.

Hakuna ugonjwa mbaya kama ukiwa huna pesa.

Unafikiri unapigaaaana basi ili upate mijihela kama ya bharesa...hapana ni pesa tu ya kukutosha wewe na familia yako.

Kama hujapitia maisha ya kimasikini...jamaa acha aiseh
Ngoja tuzitafute sisi wakulungwa
 
Unajua Chief kuna ile kweli huna pesa na ninaona..lakini kuna ile pesa unayo ila imeshikana na roho😄😄majibu kubadilika hiyo ni obvious
Kuna ile mdada hajui vizuri vyanzo vya mkaka ila anaomba kulingana na mwonekano au impression ya siku ya kwanza jamaa alivyomtongoza sasa ile smartness kuna muda inaleta shida ukimwambia sina ugomvi sio wa nchi hii au blue tick zinafata 😀 😀 😀

Tutafute pesa kwa jinsia zote maana mdada ukikosa zako pia kutumika lazima ugeuzwe sex machine kwa kuogopa kunyimwa hela.
 
kuna ile mdada hajui vizuri vyanzo vya mkaka ila anaomba kulingana na mwonekano au impression ya siku ya kwanza jamaa alivyomtongoza sasa ile smartness kuna muda inaleta shida ukimwambia sina ugomvi sio wa nchi hii au blue tick zinafata 😀 😀 😀

Hela ya mwanaume ni yangu na yangu ni yangu.naomba niishie kusema tafuteni pesa
 
kuna ile mdada hajui vizuri vyanzo vya mkaka ila anaomba kulingana na mwonekano au impression ya siku ya kwanza jamaa alivyomtongoza sasa ile smartness kuna muda inaleta shida ukimwambia sina ugomvi sio wa nchi hii au blue tick zinafata 😀 😀 😀

Tutafute pesa kwa jinsia zote maana mdada ukikosa zako pia kutumika lazima ugeuzwe sex machine kwa kuogopa kunyimwa hela.

Hii imenitokea past few weeks... ukimwambia sina hata mia mbovu hakuelewi
 
Dude kama Hili ,kama lilikukataa wakati ukiwa Bado hujanunua Ndinga .

Alafu likaanza kukushobokea baada ya kununua Ndinga.... Hili unalisemehe tu[emoji23][emoji23]

Sema ya hivi, ni kuyachapa kwa Cash tu
IMG_20210427_151950_350.jpg
 
Yani we acha tu aise...
Nikikumbuka tulivyokuwa tunakula ugali na maji yenye chumvi[emoji17][emoji17][emoji17]sitamani wanangu wapite huko aiseh ni maumivu lakini pia imenifundisha maisha.

Kwa ufupi maisha niliyoyapitia yamekuwa funzo tosha..ndo mana nikimuona mtu anapitia shida hasa mama na mtoto natesekaga sana.naumia zaidi nikiwa sina uwezo wa kumsaidia kwa kipindi husika.[emoji24][emoji24]

lakini mtu akiona miandiko humu ndani anajua huyu wa kishua haijui shida[emoji1][emoji1]my friend acha tu aise.

Shukrani za dhati kabisa zimuendee dear Ex kwa kunionesha mwanga wa maisha.Mungu amtunze,amfungulie kila aina ya kifungo kilichofungwa juu yake bila yeye kujua,aendelee kuwa mzima wa afya maradhi yapite mbali nae,aishi maesha marefu yenye afya na uzima,milango ya Baraka ikafunguliwe juu yake,Baraka tele zikamiminike katika uzao wake Amen.
J,Mungu akutunze mwamba unamoyo wa ajabu mno.
Amen,napokea baraka zote kwa niaba yake
 
Pole sana, haya maisha sio poa hata!!
 
Back
Top Bottom