Hujakutana na hohe hahe wa sampuli yangu ww..Kama bado unamuhitaji mambo yaendelee, kama haumtaki basi....
Kumpenda mtu asie na kitu yani hohe hahe yataka moyo nyie!!! Hata ukifanya nae haupati utamu kabisa
Vitu gani..Mbona mnatuchanganya?Hujui apendwi mtu mpaka awe na kitu?????
Kwamba hohe hahe mtamu au una maajabu gani!??😂Hujakutana na hohe hahe wa sampuli yangu ww..
Wapo, inategemea makuzi yake. Sio wote wana mawazo ya kimasikini au ya kujimwambafyDemu itakuwa reception haisomeki au age imejongea, yaani w'ke hawa pisi kali akuheshimu na pesa anayo!
Nimekataliwa jana.Sababu mbalimbali,
Anakukataa kwa dharau Sana,kwa sababu anakuona tu kwamba huna chochote kwa wakati huo kwa sababu huna tabia za kujiinua,
Lakini baada ya siku kadaa anagundua kwamba uko vizuri,anaaza juhudi za kutaka kukukubali.
Anakukataa kwa sababu huna kitu kwa wakati huo kwa sababu labda ulikua kimasomo zaidi,au unatafuta faranga,kimwonekano hukua vizuri,
Baada ya muda Fulani,kupita unapata maisha baaab kubwa,anaanza kukutafuta ili akukubali,
Anakukataa kwa sababu unaonekana upoupo tu,lakini kwa bahati anasikia habari zako,kutoka kwa watu anaowaamini,anaowakubali na anao watamini sana wakikusifu sana,kuwa wewe ni mtu wa maana kabisa,mtu Bora kabisa.
Kisha akaanza harakati za kutaka kukukubali.
Ulishawahi kukutana na Hali hizo?
Ulipokutana na mtu au watu wa hivyo ulichukua uamuzi gani?
Yes, bila emotional connection hakuna mapenzi,Love is an emotional attachment
Ni kweli kwenye mahusiano ya mwanamke kumzidi Me kipato ni insecurities tu ndio husababisha mahusiano kuvunjika.Kwakweli mimi siwezi kuwa na mahusiano rasmi na mwanamke aliyenizidi pesa labda tuwe no strings attached.
Lakini eti niwe serious kabisa, siwezi nitakuwa najifeel insecure eeeh eehe eehe kama sauti sol
Aiseh acha kabisa..nikikumbuka maisha ya kwanzia mwaka 98-2004 daah hayo maisha Sitaki kuyakumbuka aise...
Ni kweli mwanamke anataka security, na security ya kwanza ni uwezo wa kifedha alionao mwanaume. Ndio maana kama umenisoma vizuri, watu wakishakuwa na uwezo, say from middle class families walau, wote watakuwa wanajitosheleza hivyo hoja ya uwezo tutaifuta, tutaangalia upendo au hisia tu. Yaani kidume hakitatafuta mwanamke based on her pockets na dada zetu watakuwa huru kutafuta mwanaume kwa vile pesa haipo kwenye equation.Aisee wee hujui wanawake...trust me wapo wametoka middle class lakini mapenzi hamna wanaangalia uwezo wa kidume financially.
Usijidanganye kabisa women poor or rich majority wanaangalia mwanaume ana nini na sio kwamba wanapenda.
Bora umeongea ukweli,.stick to ur levelKwakweli mimi siwezi kuwa na mahusiano rasmi na mwanamke aliyenizidi pesa labda tuwe no strings attached.
Lakini eti niwe serious kabisa, siwezi nitakuwa najifeel insecure eeeh eehe eehe kama sauti sol
Yani we acha tu aise...What happened mkuu? Tupe hints japo kidogo.
Si ndo hapo sasaAlaa kumbe? Basi enjoy the karma!
Wanaume wengi sijui kwanini huwa hamtaki kukubali kuwa what goes around comes around! Yaani wewe uwe mzee wa hit and run kuumiza watoto wa wenzio halafu wewe ukiumizwa uone kama unaonewa?
Kuna dada namfahamu ni kisu hatari kwa muonekano mwanaume huwezi chomoa kama unapenda toto zuri lenye jisambwanda.Halafu bado unakuta huyo mwanaume anamcheat! Hamnaga shukurani ninyi viumbe acheni tu mdharauliwe mkizikosa!
Wanawake aki kuomba pesa mara 2 3 na hujampa... utaona majibu yake yana badirikaUkiona uko na mwanamke na huna hela...arifu,jua mwanamke ndie kakuelewa Vinginevyo,maneno ya shombo hayatakaa mbali saaana na ngoma za masikio yako.sijui unanielewa...