Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Mimi uwaga nina neno moja... si wataje bei wanayo uza watu tupande dau... kuliko kuzungushana alafu kumbe ni biashara flani isio rasmi [emoji3]
 
Ngoja tuzitafute sisi wakulungwa
 
Unajua Chief kuna ile kweli huna pesa na ninaona..lakini kuna ile pesa unayo ila imeshikana na roho😄😄majibu kubadilika hiyo ni obvious
Kuna ile mdada hajui vizuri vyanzo vya mkaka ila anaomba kulingana na mwonekano au impression ya siku ya kwanza jamaa alivyomtongoza sasa ile smartness kuna muda inaleta shida ukimwambia sina ugomvi sio wa nchi hii au blue tick zinafata 😀 😀 😀

Tutafute pesa kwa jinsia zote maana mdada ukikosa zako pia kutumika lazima ugeuzwe sex machine kwa kuogopa kunyimwa hela.
 
Hela ya mwanaume ni yangu na yangu ni yangu.naomba niishie kusema tafuteni pesa
 

Hii imenitokea past few weeks... ukimwambia sina hata mia mbovu hakuelewi
 
Dude kama Hili ,kama lilikukataa wakati ukiwa Bado hujanunua Ndinga .

Alafu likaanza kukushobokea baada ya kununua Ndinga.... Hili unalisemehe tu[emoji23][emoji23]

Sema ya hivi, ni kuyachapa kwa Cash tu
 
Amen,napokea baraka zote kwa niaba yake
 
Pole sana, haya maisha sio poa hata!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…