Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Tatizo watu mkiambiwa pesa basi mnadhani yani mtu awe na maburungutuuu!!!!!
Ndugu mapenzi na pesa ni are inseparable!!! Ukitaka kwenda kula tunda you need money, mkale, mnywe kidogo, ulipe lodge..... Pesa inahitajika
...Na “nauli” ya kumrudisha kwake/kwao. Ni dhambi kubwa sana mtoto wa kike umtindue harafu ajilipie nauli kurudi kwake
 
Hasara tupu......
Onaa sasa mapenzi hakuna pesa hakuna biashara gani hii
 
acha

acha urongo! sisi hohe hahe tusikuwa na mbele wala nyuma, kwenye swala la kutoa utamu tunajituma sana, hatuna masihara kwenye sekta ya "wewe mpelekee moto"
yani hela huna, maisha huna na utamu ushindwee kuutoa!
Utamu bila pesaaa
 
acha

acha urongo! sisi hohe hahe tusikuwa na mbele wala nyuma, kwenye swala la kutoa utamu tunajituma sana, hatuna masihara kwenye sekta ya "wewe mpelekee moto"
yani hela huna, maisha huna na utamu ushindwee kuutoa!
Unajidanganya wewe..eti kujituma, mambo ya kufanyiana mazoezi vifuani nani anataka[emoji849][emoji848]

Pesa

Hela
Fedha
 
Alooo uko mbali na uhalisia asee[emoji848][emoji848]
 
Haipingwi ila neno lako sio sheria! Sababu wapo mademu wakali na wanaliwa na wauza mikaa tu ama mafundi kushona! Una justify vipi statement yako?
Haya mambo tunayasoma kwenye gazeti la shigongo, hayana uhalisia kabisa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Itoshe kusema namheshima sana huyo Mungu anilindie tu
Kwa sababu amenipenda wakati hata mwenyewe sijipendi kwa jinsi nlivyo yaani hata nauli ya mia sita nashindwa kumpa lakin anakuja hata kwa mguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…