Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Si tumekubaliana kuwa mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume...tafuteni fweza wakuuhuu ubinafsi sasa 😀 😀 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si tumekubaliana kuwa mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume...tafuteni fweza wakuuhuu ubinafsi sasa 😀 😀 😀
Tena vita ya dunia.tafuteni fweza wakuuhawa wenzetu wao wakikosa ni sawa lakini sisi tukikosa ni vita 😀 😀
...Na “nauli” ya kumrudisha kwake/kwao. Ni dhambi kubwa sana mtoto wa kike umtindue harafu ajilipie nauli kurudi kwakeTatizo watu mkiambiwa pesa basi mnadhani yani mtu awe na maburungutuuu!!!!!
Ndugu mapenzi na pesa ni are inseparable!!! Ukitaka kwenda kula tunda you need money, mkale, mnywe kidogo, ulipe lodge..... Pesa inahitajika
Kuna boya mmoja nilimpendaga aise hata hamsini mbovu alikuwa hanipi(hana hela)lakini ulikuwa huniambii kitu loh....nilishindwa maana tulikuwa tukikaa hazijapita dakika mbili tushakwaruzana kha!!muda wote kajawa na amri tu [emoji17][emoji17]siku nyingine natamani kudeka deka..basi hata nikitengeneza mazingira ya kubadilisha sauti iwe kama ya Celine Dion ohooooo...nakutana na sura ya vita...woooooiiii..
Na ubandidu wake hivyo hivyo loh.Shikamoo mapenzi marahaba sit down.kha
Onaa sasa mapenzi hakuna pesa hakuna biashara gani hii
HatariHasara tupu......
Utamu bila pesaaaacha
acha urongo! sisi hohe hahe tusikuwa na mbele wala nyuma, kwenye swala la kutoa utamu tunajituma sana, hatuna masihara kwenye sekta ya "wewe mpelekee moto"
yani hela huna, maisha huna na utamu ushindwee kuutoa!
Umenikumbusha mbali sana na hili neno...Na “nauli” ya kumrudisha kwake/kwao. Ni dhambi kubwa sana mtoto wa kike umtindue harafu ajilipie nauli kurudi kwake
Huu ni ukweli mtupu[emoji119][emoji119]Kama bado unamuhitaji mambo yaendelee, kama haumtaki basi....
Kumpenda mtu asie na kitu yani hohe hahe yataka moyo nyie!!! Hata ukifanya nae haupati utamu kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]Vyote mapenzi na biashara ya uchi dear....
Unajidanganya wewe..eti kujituma, mambo ya kufanyiana mazoezi vifuani nani anataka[emoji849][emoji848]acha
acha urongo! sisi hohe hahe tusikuwa na mbele wala nyuma, kwenye swala la kutoa utamu tunajituma sana, hatuna masihara kwenye sekta ya "wewe mpelekee moto"
yani hela huna, maisha huna na utamu ushindwee kuutoa!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Demu itakuwa reception haisomeki au age imejongea, yaani w'ke hawa pisi kali akuheshimu na pesa anayo!
Haaahaaa kama wa gwajiboy[emoji16][emoji16]Huu ni ukweli mtupu huyu mke hana sura wala chura
AhahahahaaaKama bado unamuhitaji mambo yaendelee, kama haumtaki basi....
Kumpenda mtu asie na kitu yani hohe hahe yataka moyo nyie!!! Hata ukifanya nae haupati utamu kabisa
Alooo uko mbali na uhalisia asee[emoji848][emoji848]Shida mmezoea wadangaji wa mjini Daslam! Tembeeni muone jamani, ukiona mwanamke anatanguliza maslahi mbele jua hajakupenda tu wala hujamuingia moyoni!
Mtindo ni uleule kama demu uliekuwa unamzimia ukiwa form 2 halafu ukamtokea akakutosa kwa kishindo na dharau, huku na huku kuna mvuta bangi mmoja akawa anapelekewa tunda anajilia tani yake [emoji23][emoji23][emoji23] ukajiuliza maswali bila majibu!
Love is an emotional attachment bro atleast for the one who trully feels for you!
Haya mambo tunayasoma kwenye gazeti la shigongo, hayana uhalisia kabisaHaipingwi ila neno lako sio sheria! Sababu wapo mademu wakali na wanaliwa na wauza mikaa tu ama mafundi kushona! Una justify vipi statement yako?
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]uwe una hela uwe huna!.. ukiletewa papuchi ww kojolea tu! mambo ya mapenzi ni attachment za kijinga tu!
. love lasts, mwanamke akipata msela mwenye hela ataanza kutafuta attention n.k toka broke guys! akiwa na broke nigga atatafuta rich guy!..
hvi viumbe havieleweki kwahyo ukiletewa mbususu ww kamua tu!.. na usingaike kujionesha kidume hutapewa tuzo!
Teh teh[emoji16][emoji16]Vijana wanatakiwa kujua kuwa asilimia kubwa ya wanawake ni makahaba wanaotumia mahusiano kama kichaka cha kufanyia huo ukahaba.......
Aiseeee[emoji848]Mimi uwaga nina neno moja... si wataje bei wanayo uza watu tupande dau... kuliko kuzungushana alafu kumbe ni biashara flani isio rasmi [emoji3]
Usije ukamgeuka sasaItoshe kusema namheshima sana huyo Mungu anilindie tu
Kwa sababu amenipenda wakati hata mwenyewe sijipendi kwa jinsi nlivyo yaani hata nauli ya mia sita nashindwa kumpa lakin anakuja hata kwa mguu