Ulishawahi kukataliwa kwasababu hukuwa na kitu kisha ukaja kukubaliwa baada ya kupata?

Hahahaha pole kaka!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mimi naogopa sana kutongoza demu naogopa kukataliwa nina 23 now
 
Hela ya mwanaume ni yangu na yangu ni yangu.naomba niishie kusema tafuteni pesa
Hiyo statement yko utai apply kwa wanaume malofa, sisi wajanja hiyo kwetu haipo. Yaani pesa ninazo ila nakuchinjia baharini yaani
 
Kaka kuliwa na kuwa nawe kama mume au mke ni mbingu na ardhi.
Second nionyeshe mwanamke mzuri mmoja anayeliwa na muuza mkaa mie nitakuonyesha 1000 ambao wanaliwa na matajiri. Exceptions zitakuwepo na human stupidity knows no boundaries.
Umasikini tu
 
Nipe yako kwanza my wangu
 
Haha ndo naelekea kupata Supu Baby wangu[emoji8]

Umeamkaje lkn?
🤣🤣akili yako unaijuaga mwenyewe yani ulivyo na mwandiko wako ni maji na mafuta itabidi uzaliwe upya.

Supu asubuhi hii inaelekea jana ulikuwa na show nzito 😄😄.

Nimeamka poa aiseh rafiki yangu..sijui wewe baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…