Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

Tatizo unajiona sana ndiyo maana unakataliwa.
 
Status ina maana kama huyo unayemtongoza anajali hiyo status, kama hajali haina maana.

Unaweza kufikiri wewe ni msomi, una pesa, kumbe mwenzako anakuona mshamba unajivuna kuwa wewe ni msomi una pesa.

Wengine hatutongozi, tunaongoza.
Wanyakyusa na wahaya wanaona unapiga blaa blaa tu.
 
Mkuu bila shaka nahisi uliopoa malaya
 
Kukataliwa ni kipimo cha utu, hasa mwanamme kukataliwa na binti.

Binafsi nawapenda sana wanawake wagumu, sipendi wanawake warahisi mie.

Nikitongoza sehemu nikataliwe kwa 'makavu live', elewa huyo bidada anantaka, sazingine bila yeye kujua.

Nitatumia silaha zangu zote za msaada kukivunja hiko kikwazo, sijawahi kukataliwa na kubweteka.

Anayenikataa, ajipange kunikataa kistaarabu, vinginevyo anakuwa kajiingiza kwenye vita vya majimaji na warugaruga.

Anibembeleze na kunielimisha kwa upole kuwa yeye ni mke wa mtu ama mchumba wa mtu, nitamuelewa kiurahisi na nitamwacha aende zake kweli.

Lakini wale wa: 'toka hapa', 'lione', 'nikome' nk nk, hao sasa ndiyo wa kariba yangu, huyageuza mapenzi na kuwa ni ligi ya mashindano.

Na mara nyingi kama si zote huwaga ni mshindi wa kuondoka na kombe.

Ninazijua mbinu zote haramu na halali zilizopo duniani, kumpata huwa ndiyo tamati ya furaha yangu.
 
hua nahisi kwamba ana kasoro kubwa ndani yake,
ambayo sistahili kuijua wala kuiona ndani yake, au ni mgonjwa na hivyo nia aibu kuniambukiza na mimi anachougua yeye mathalani ni cha fedheha sana
 
Yani kama mimi najuta huku,nimekataliwa na kabinti la hovyooo. Mbaya zaidi ni majirani na nasikia vile kanakula dushe na vijivulana dredi.Nimebaki kimya nakaangalia tu.Mbaya zaidi mimi ndo msimamizi wa nyumba anazokaa.
Ila nahisi kanajuta pia.,aibu sn kwangu
 
Nani kakudanganya kanajuta?

Kula chuma iko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…