Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

Mama Ma-Ex wangu nawadiss...🎶
Mana ma-Ex wangu wote walikua rahisi....🎶
Sikujua kutongoza kua ni ngumu like this...🎶
Sikujua mi sijui kutongoza like this...🎶


Arostoo, usiniache na Arostoo..🎶
 
Mwingine anaweza kujifanya kukukataa ila hamaanishi hivyo bali anataka ajithibitishie kwamba umeenda kwa nia ya dhati ama lah.

Wanawake wengi wapo hivyo hata kama anakuelewa kinoma na anakuonesha kila dalili ya kukuhitaji still unaweza kumtongoza akakuchomolea kwanza.

Na wanaume tusivyo na subira akichomoa tu muda huo huo kwa hasira tunahamishia ndoano kwingine.
 
Tatizo ni pale wengine tukinywa kidogo,Yani mtaani hakuna demu hujatongoza
Kwan hilo lina shida gani? Bank inataka mtu mzoefu na Mikopo.
Wanawake wanapenda Alpha Man, mla demu ndio hupendwa.
Kwa hoja yako naomba Nikupe story fupi sana:

Juzi nipo lodge moja nzuri tu kulala chumba kinaanzia 50,000/- nikalipia nikapanda kupumzika, ila nikakumbuka mkoa ule nina lidada limoja lina shepu kama stand ya SGR ya JPM pale Dsm.

Nikaona nimstue aje nipige kamoja nioate usingizi, nikamchek akasema anaachia mtu kazi anakuja dk 20 anarudi.
Sasa ile anaanza kuja nikaona nishuke nimsubiria mapokezi asije hangaika kiutafuta chumba...
Nimefika mapokezi nikakuta pale kwenyr kochi la wagemi kuna kizuri kimeshika begi ni kama kinasubiria kuingia au kina log out. Nikakisalimu ile nakaa muda fupi mgeni wangu akawa ameingia, wakasalimiana mambo poaw poa...nikanyanyuka na mtu wangu aliekuja kwenda room.

Mgeni wangu akaondoka, ie nashuka nikatafute chakula huko nje, nakuta kile kidada kipo pale ila hakina begi tena. Nikakitania kumbe bado upo hapa kikasema nipo...sikuendelea na story nikakipa simu sehemu ya kuandika namba kikaandika nikasepa.

Pamoja na kwamba kimeona nimeingia na mwanamke nilipewa namba kirahis sana na kifuatacho ITV kinajulikana.

Hivyo wasichana wengi wanapenda wanaume wa hivyo
 
Mkuu kukataliwa ni suala la kawaida,
hata mchezaji kuna siku kwenye mechi ana under perfome
Ila kuna standard hata zikikukataa haikusumbui
Nimeweka standard sitongozi below 25, job seeker au asiye na gari, nadili na awa intellectual na mwanamke wa kwenda
 
Mkuu kukataliwa ni suala la kawaida,
hata mchezaji kuna siku kwenye mechi ana under perfome
Ila kuna standard hata zikikutaa haikusumbui
Nimeweka standard sitongozi below 25, job seeker au asiye na gari, nadili na waha interellectual na mwanamke wa kwenda
Sometimes I can see una point. Kudate na mtu ambaye kashashika pesa kuna ulimbukeni anakua kashapunguza
 
Back
Top Bottom