PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
Inauma lakini 🤣🤣🤣Aliyekukubali Kuna mwengine amemkataa.
Na ni kawaida kwenye maisha.usijenge chuki.move on
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inauma lakini 🤣🤣🤣Aliyekukubali Kuna mwengine amemkataa.
Na ni kawaida kwenye maisha.usijenge chuki.move on
Umeniinspire kituNdio maana uwa sitongozi ovyo ovyo. Nalinda hii brand.
Daaah 🤣🤣nakuchukulia tu kama rafiki"
Sawa mkuu😄Mkuu itoshe tu kusema kuwa hao viumbe Mungu aliwapendelea sana, katika mizunguko yangu ya kutafuta mkate wa kila siku najikuta katika maeneo ambayo nakutana na sampuli za kila aina ambazo ni rahisi sana kushawishika ukizingatia binafsi ninazo zile sifa zao pendwa so huwa nashindwa kujizuia. imagine ukishalala na mmoja unamkinai why usitafte wengine
Kama ni hasara Kila kitu kina hasara, chamsingi ni kutafuta tu strategy ya kumitigate na kuziminimize
Kama raraa rereeKama IST unafanyia uzinzi ..ukipata RANGE ROVER si utageuzaa Jehanamu ndogo
Pole ya Nini 😇 mkuu..maana Kuna pole na kazi, Kuna pole ya majanga, pole na safari..pia Kuna pole ya kifo.
EeeehMimi cjawah kukataliwa
Unadhan unatekwa tekwa tu sio!Badili kiwanja mzee au mpaka utekwe?
HahahaNiliwahi kufanya consultancy service sehemu. Navaa kibosi suti kali, naletwa ofisini na gari mpaka beg nabebewa na dreva.
Pale chini kulikuwa na mlinzi wa SUMA yupo vizuri. Akanipa namba bila kikwazo, nikajua hapa napiga huyu kashoboka na suti.
Mpaka naondoka pale yule SUMA aligoma katakata mpaka nikabadilisha wing ya kuingilia ofisini kuficha noma
Naamkukataliwa kunauma zaidi, kuliko hata kusalitiwa.
Chaiukikataliwa unatakiwa umshukuru mungu hujui amekuepusha na nn
unaweza lazimasha likakukuta jambo
Hahaha nice guys finish lastMm pia nacheza na hii kanuni. Kuna wakati pisi inajua kabisa ww ni handsome, pesa ndogo ndogo hazikupigi chenga na una kausafiri kako lkn unamtongoza anakupiga chini.
Guess what? Hakupigi chini kwa vile hakupendi. Ila anataka kuvimba mtaani au kwa watu kua yeye hababaiki na status! Yani anakupiga chini ili kupandisha brand yake. Ndio wale utaskia, "Yule dada ni noma katongozwa mpaka na wenye magari lkn kawapiga chini!"
Halafu unakuta msela anaekubaliwa ni choka mbaya tu halafu hana time nae kabisa 😀. Anapigwa mimba na jamaa anasepa. Baadae utashangaa pisi inakufata kukuomba matunzo ya mtoto ambae sio wako!
Hahaha nimecheka sanaMasela wengine jau hata hawajai kula hayo maharage ya mbeya wanajitapa tu.
Nilishatongoza pisi kuna msela akaniona siku moja nikiambatana nae akaanza kumchafua yule dada kwamba mwepesi na pale kashapita sana, hapo nilikuwa bado sijapewa tunda. Nilisota sana ad kuja kupewa, nikakuta mtoto ni sealed, baadae nikajakugundua kumbe yule msela alituma maombi yakakataliwa baada ya hapo akaanza kumchafua.
Hii inanitokea kabisaKuna masela wengine wanakujaza upepo wanakwambia oya yule manzi anakukubali kinoma sijui unafeli wapi, ole wako ujichanganye 😀
Mzee wa suti za kihasibuNiliwahi kufanya consultancy service sehemu. Navaa kibosi suti kali, naletwa ofisini na gari mpaka beg nabebewa na dreva.
Pale chini kulikuwa na mlinzi wa SUMA yupo vizuri. Akanipa namba bila kikwazo, nikajua hapa napiga huyu kashoboka na suti.
Mpaka naondoka pale yule SUMA aligoma katakata kunipa dudu washa, mpaka nikabadilisha wing ya kuingilia ofisini kuficha noma
Wengine tupo madhabahuni mkuu 🤣Niliwahi kufanya consultancy service sehemu. Navaa kibosi suti kali, naletwa ofisini na gari mpaka beg nabebewa na dreva.
Pale chini kulikuwa na mlinzi wa SUMA yupo vizuri. Akanipa namba bila kikwazo, nikajua hapa napiga huyu kashoboka na suti.
Mpaka naondoka pale yule SUMA aligoma katakata kunipa dudu washa, mpaka nikabadilisha wing ya kuingilia ofisini kuficha noma