Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

Ndio maana uwa sitongozi ovyo ovyo. Nalinda hii brand.
Mm pia nacheza na hii kanuni. Kuna wakati pisi inajua kabisa ww ni handsome, pesa ndogo ndogo hazikupigi chenga na una kausafiri kako lkn unamtongoza anakupiga chini.

Guess what? Hakupigi chini kwa vile hakupendi. Ila anataka kuvimba mtaani au kwa watu kua yeye hababaiki na status! Yani anakupiga chini ili kupandisha brand yake. Ndio wale utaskia, "Yule dada ni noma katongozwa mpaka na wenye magari lkn kawapiga chini!"

Halafu unakuta msela anaekubaliwa ni choka mbaya tu halafu hana time nae kabisa 😀. Anapigwa mimba na jamaa anasepa. Baadae utashangaa pisi inakufata kukuomba matunzo ya mtoto ambae sio wako!
 
Umesomeka sana mkuu

Kuna pisi zinajua kucheza sana na mindsets zetu
 
Kabla hujaingia mawindoni, hakikisha mpk siku unamvua chupi huyo mtoto wa mtu anakuwa hajui status yenu ipoje... hiyo ndio principle ya kudeal na hawa viumbe.

Flirt kwa sms fulani za kumvuta ktk mfumo (sometimes mnapanga hadi lodge/hotel ya kumnyongea, styles etc)

N.B: kunyimwa mzigo mkiwa chumbani inauma zaidi, kuwa makini..
 
Ughonile.,

Kuna ile hali unasema yule mkaka/mdada nikigusa tu lazima anase lakini mwisho wa siku unapigwa kibuti unabaki umeduwaa.

Ukijitathmini unaona uko fresh kabisa, uko vizuri kiuchumi, handsome/mrembo, una kausafiri kako, unatokea familia yenye profile kubwa, msomi n.k na mbaya zaidi unakuta mhusika anakua anajua status yako in and out lakini anakuchomolea?

Vipi wewe ishawahi kukutokea? Ulijiskiaje?
Unajua kutongoza ni SANAAA.

Sisi watu tulio soma marketing tunajua strategies huwezi chomolewa.

Mimi sikumbuki Mara ya mwisho ni lini ku be rejected Ila sitongozi ovyo ovyo.
 
Wengine kwa siku tunatongoza wanawake zaidi ya 5, kila siku unayoijua wewe
Mzee wakikubali , then mkaenda lodge au guest mka sex ukimaliza hau feel guilty.

Maana Kuna kipindi una jikuta umetembea na wanawake wa kila aina wanene, wembamba, warefu, wafupi, big booty, slimy, wenye maji , wakavu n.k

So inafika kipindi ukimwona mwanamke kwa macho kumuangalia unajua atakuaje ukimvua nguo..

Mpaka unajisikia vibaya, Bado hofu za kuuza mechi ukikohoa wiki mbili wasiwasi unaanza

All in all,
Uzinzi hauna faida zaidi ni hasara juu ya hasara pia hakunaga tuzo za uzinzi.
 
Unakuta masela mtaani wanasema yule dada ni maharage ya mbeya, maji mara moja.!! sasa ole wako ujichanganye
Masela wengine jau hata hawajawahi kula hayo maharage ya mbeya wanajitapa tu.

Nilishatongoza pisi kuna msela akaniona siku moja nikiambatana nae akaanza kumchafua yule dada kwamba mwepesi na pale kashapita sana, hapo nilikuwa bado sijapewa tunda. Nilisota sana ad kuja kupewa, nikakuta mtoto ni sealed, baadae nikajakugundua kumbe yule msela alituma maombi yakakataliwa baada ya hapo akaanza kumchafua.
 
Mzee wakikubali , then mkaenda lodge au guest mka sex ukimaliza hau feel guilty.

Maana Kuna kipindi una jikuta umetembea na wanawake wa kila aina wanene, wembamba, warefu, wafupi, big booty, slimy, wenye maji , wakavu n.k

So inafika kipindi ukimwona mwanamke kwa macho kumuangalia unajua atakuaje ukimvua nguo..

Mpaka unajisikia vibaya, Bado hofu za kuuza mechi ukikohoa wiki mbili wasiwasi unaanza

All in all,
Uzinzi hauna faida zaidi ni hasara juu ya hasara pia hakunaga tuzo za uzinzi.
Mkuu itoshe tu kusema kuwa hao viumbe Mungu aliwapendelea sana, katika mizunguko yangu ya kutafuta mkate wa kila siku najikuta katika maeneo ambayo nakutana na sampuli za kila aina ambazo ni rahisi sana kushawishika ukizingatia binafsi ninazo zile sifa zao pendwa so huwa nashindwa kujizuia. imagine ukishalala na mmoja unamkinai why usitafte wengine

Kama ni hasara Kila kitu kina hasara, chamsingi ni kutafuta tu strategy ya kumitigate na kuziminimize
 
Masela wengine jau hata hawajai kula hayo maharage ya mbeya wanajitapa tu.

Nilishatongoza pisi kuna msela akaniona siku moja nikiambatana nae akaanza kumchafua yule dada kwamba mwepesi na pale kashapita sana, hapo nilikuwa bado sijapewa tunda. Nilisota sana ad kuja kupewa, nikakuta mtoto ni sealed, baadae nikajakugundua kumbe yule msela alituma maombi yakakataliwa baada ya hapo akaanza kumchafua.
Masela wa ivo hawakosi mtaani. hao ndo wale ukiingia kwenye mawindo yao wanakulia time ukiingia mtaani kama hawakujui anakusingizia ata kesi ya wizi wa boda anakujazia inzi ili tu utoweke kisa manzi. Hii ipo sana Dar

Kuna masela wengine wanakujaza upepo wanakwambia oya yule manzi anakukubali kinoma sijui unafeli wapi, ole wako ujichanganye 😀
 
Back
Top Bottom