Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ni muhimu sana kulinda brand yako watu wasikuzoee. Sio kila mwanamke mzuri umtamani ni kama hujielewi.Ndio maana uwa sitongozi ovyo ovyo. Nalinda hii brand.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni muhimu sana kulinda brand yako watu wasikuzoee. Sio kila mwanamke mzuri umtamani ni kama hujielewi.Ndio maana uwa sitongozi ovyo ovyo. Nalinda hii brand.
We ulipiga Suti Kali kama ya Wakili Kibatala lazima uogopwe.Niliwahi kufanya consultancy service sehemu. Navaa kibosi suti kali, naletwa ofisini na gari mpaka beg nabebewa na dreva.
Pale chini kulikuwa na mlinzi wa SUMA yupo vizuri. Akanipa namba bila kikwazo, nikajua hapa napiga huyu kashoboka na suti.
Mpaka naondoka pale yule SUMA aligoma katakata kunipa dudu washa, mpaka nikabadilisha wing ya kuingilia ofisini kuficha noma
😅😅hii vyuoni ipo sanaMasela wa ivo hawakosi mtaani. hao ndo wale ukiingia kwenye mawindo yao wanakulia time ukiingia mtaani kama hawakujui anakusingizia ata kesi ya wizi wa boda anakujazia inzi ili tu utoweke kisa manzi. Hii ipo sana Dar
Kuna masela wengine wanakujaza upepo wanakwambia oya yule manzi anakukubali kinoma sijui unafeli wapi, ole wako ujichanganye 😀
Ukiwa una vihela hela hasa hivi vya mchongo( peda haramu) huwezi kuona hassra za uzinzi.All in all,
Uzinzi hauna faida zaidi ni hasara juu ya hasara pia hakunaga tuzo za uzinzi.
😂trueeUkiwa una vihela hela hasa hivi vya mchongo( peda haramu) huwezi kuona hassra za uzinzi.
Zikishaisha au zikipungua ndio utaanza kuilaumu ccm inaharibu uchumi😅😅😅
UKishakojoa tu kuna kamoment kama ka Dakika Moja hadi tano huwa kanapita unajuta pesa zote ulizotumia ndio unakumbuka Mama alikuomba Pesa ya mbegu msimu huu wa Kilimo. Ndio unajivuta vuta kutuma elfu 50Mzee wakikubali , then mkaenda lodge au guest mka sex ukimaliza hau feel guilty.
Hii mbaya sana ishawahi kunikutaaa daah 😅😅😅😅 umenikumbisha mbali sanaaaaaKuna mwingine anakuonesha green lights kibao ila siku ukijichanganya kutaka kumuingiza kwenye mfumo anakataa kufit kabisa
Yuko pamoja mkuu 😅😅😅Kaka mimi sitongozi ovyo na sijawahi kua domo zege tangu nizaliwe ila nina haiba ya ukimya na upole
Kwenye hizoo chapati tatu ongezea chai ☕☕☕🍵Mimi cjawah kukataliwa
Ule haukuwa uoga bali ujasiri. Alikuwa akiniambia kabisa "Hilo kiongozi haliwezekani"We ulipiga Suti Kali kama ya Wakili Kibatala lazima uogopwe.
😅😅😅😅 hii kauli nimecheka sana! Ndio sawa na kusema i’m older than life itself…Samahani mkuu hilo lilikua ni Jungu tu...
Nina miaka mingi sana kwenye mahusiano kuliko miaka yangu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Halafu unakuta msela anaekubaliwa ni choka mbaya tu halafu hana time nae kabisa 😀. Anapigwa mimba na jamaa anasepa. Baadae utashangaa pisi inakufata kukuomba matunzo ya mtoto ambae sio wako
Yes imewahi kunitokea juzi kati tu hapo kuna kademu kamoja cha veta kila nikitoka job nakutana nacho njiani kapo kwa mguu mi nipo ndani ya gari, nikakaingia kwa mbwembwe mi engineer, nna gari(nimeshawagonga mademu kibao kupitia ki ist changu) nikakapiga lunch ya maana nikakapa na lifti nikajua nimepata chakula ya kupooza njaa si kakanikazia bwana.
Baadae nikaja kugundua kamenikazia coz kananiona mi player plus tofauti za kidini.
Iliniuma japokuwa nilikuwa nataka nipige nipite zangu hivi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sisi wengine hua tuna kataliwa kwa MSISITIZO .
Au siku ya harusi yangu nitaarika watu wachache mno,pengine hata Mimi nisiwepo.😅😅😅😅 hii kauli nimecheka sana! Ndio sawa na kusema i’m older than life itself…
Enhee 😂Au siku ya harusi yangu nitaarika watu wachache mno,pengine hata Mimi nisiwepo.
Nchi ipo kwenye hali mbaya ya kisiasa, vijana wa hovyo mpo hapa mnaanzisha thread za kidadapoa.Ughonile.,
Kuna ile hali unasema yule mkaka/mdada nikitupia ndoano tu lazima anase lakini mwisho wa siku unapigwa kibuti kimoja saafi unabaki umeduwaa.
Ukijitathmini unaona uko fresh kabisa, uko vizuri kiuchumi, handsome/mrembo, una kausafiri kako, unatokea familia yenye profile kubwa, msomi n.k na mbaya zaidi unakuta mhusika anakua anajua status yako in and out lakini anakuchomolea?
Vipi wewe ishawahi kukutokea? Ulijiskiaje?
Kwenye hizoo chapati tatu ongezea chai ☕☕☕