Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

Mkuu itoshe tu kusema kuwa hao viumbe Mungu aliwapendelea sana, katika mizunguko yangu ya kutafuta mkate wa kila siku najikuta katika maeneo ambayo nakutana na sampuli za kila aina ambazo ni rahisi sana kushawishika ukizingatia binafsi ninazo zile sifa zao pendwa so huwa nashindwa kujizuia. imagine ukishalala na mmoja unamkinai why usitafte wengine

Kama ni hasara Kila kitu kina hasara, chamsingi ni kutafuta tu strategy ya kumitigate na kuziminimize
Sawa mkuu😄
 
Niliwahi kufanya consultancy service sehemu. Navaa kibosi suti kali, naletwa ofisini na gari mpaka beg nabebewa na dreva.
Pale chini kulikuwa na mlinzi wa SUMA yupo vizuri. Akanipa namba bila kikwazo, nikajua hapa napiga huyu kashoboka na suti.
Mpaka naondoka pale yule SUMA aligoma katakata kunipa dudu washa, mpaka nikabadilisha wing ya kuingilia ofisini kuficha noma
 
Mpaka naondoka pale yule SUMA aligoma katakata mpaka nikabadilisha wing ya kuingilia ofisini kuficha noma
Hahaha
 
Mm pia nacheza na hii kanuni. Kuna wakati pisi inajua kabisa ww ni handsome, pesa ndogo ndogo hazikupigi chenga na una kausafiri kako lkn unamtongoza anakupiga chini.

Guess what? Hakupigi chini kwa vile hakupendi. Ila anataka kuvimba mtaani au kwa watu kua yeye hababaiki na status! Yani anakupiga chini ili kupandisha brand yake. Ndio wale utaskia, "Yule dada ni noma katongozwa mpaka na wenye magari lkn kawapiga chini!"

Halafu unakuta msela anaekubaliwa ni choka mbaya tu halafu hana time nae kabisa 😀. Anapigwa mimba na jamaa anasepa. Baadae utashangaa pisi inakufata kukuomba matunzo ya mtoto ambae sio wako!
Hahaha nice guys finish last
 
Masela wengine jau hata hawajai kula hayo maharage ya mbeya wanajitapa tu.

Nilishatongoza pisi kuna msela akaniona siku moja nikiambatana nae akaanza kumchafua yule dada kwamba mwepesi na pale kashapita sana, hapo nilikuwa bado sijapewa tunda. Nilisota sana ad kuja kupewa, nikakuta mtoto ni sealed, baadae nikajakugundua kumbe yule msela alituma maombi yakakataliwa baada ya hapo akaanza kumchafua.
Hahaha nimecheka sana
 
Niliwahi kufanya consultancy service sehemu. Navaa kibosi suti kali, naletwa ofisini na gari mpaka beg nabebewa na dreva.
Pale chini kulikuwa na mlinzi wa SUMA yupo vizuri. Akanipa namba bila kikwazo, nikajua hapa napiga huyu kashoboka na suti.
Mpaka naondoka pale yule SUMA aligoma katakata kunipa dudu washa, mpaka nikabadilisha wing ya kuingilia ofisini kuficha noma
Mzee wa suti za kihasibu
 
Wengine tupo madhabahuni mkuu 🤣
 
Back
Top Bottom