Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Tukikataliwa tukubali kistaarabu kumchafua kwa maneno ya uongo sio sahihi. Na hata kama ni kweli sio sahihi pia.Hahaha nimecheka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukikataliwa tukubali kistaarabu kumchafua kwa maneno ya uongo sio sahihi. Na hata kama ni kweli sio sahihi pia.Hahaha nimecheka sana
Hawa wapo sana washkaji zangu mara nyingi wana ujinga huu kwa mabaa medi ambao huwajui, jichanganye sasa 😂Kuna masela wengine wanakujaza upepo wanakwambia oya yule manzi anakukubali kinoma sijui unafeli wapi, ole wako ujichanganye 😀
Tatizo unajiona sana ndiyo maana unakataliwa.Ughonile.,
Kuna ile hali unasema yule mkaka/mdada nikitupia ndoano tu lazima anase lakini mwisho wa siku unapigwa kibuti kimoja saafi unabaki umeduwaa.
Ukijitathmini unaona uko fresh kabisa, uko vizuri kiuchumi, handsome/mrembo, una kausafiri kako, unatokea familia yenye profile kubwa, msomi n.k na mbaya zaidi unakuta mhusika anakua anajua status yako in and out lakini anakuchomolea?
Vipi wewe ishawahi kukutokea? Ulijiskiaje?
Minyakyusa na mihaya ndo inajiona sana.Ndio maana uwa sitongozi ovyo ovyo. Nalinda hii brand.
Wanyakyusa na wahaya wanaona unapiga blaa blaa tu.Status ina maana kama huyo unayemtongoza anajali hiyo status, kama hajali haina maana.
Unaweza kufikiri wewe ni msomi, una pesa, kumbe mwenzako anakuona mshamba unajivuna kuwa wewe ni msomi una pesa.
Wengine hatutongozi, tunaongoza.
Thibitisha.Wanyakyusa na wahaya wanaona unapiga blaa blaa tu.
Akafanye kazi ya umatonya kwa Baba yake huko hapa hapati kituUkiona umekataliwa wewe juwa ni kigwasu aka bahili.
hiyo haiba ndio zege lenyewe ndugu ni kama wahenga walitohoa hayo manenoKaka mimi sitongozi ovyo na sijawahi kua domo zege tangu nizaliwe ila nina haiba ya ukimya na upole
Chaihiyo haiba ndio zege lenyewe ndugu ni kama wahenga walitohoa hayo maneno
Kutohoa maneno ndo nn!!hiyo haiba ndio zege lenyewe ndugu ni kama wahenga walitohoa hayo maneno
Sawa mkuuhiyo haiba ndio zege lenyewe ndugu ni kama wahenga walitohoa hayo maneno
Mkuu bila shaka nahisi uliopoa malayaKwan hilo lina shida gani? Bank inataka mtu mzoefu na Mikopo.
Wanawake wanapenda Alpha Man, mla demu ndio hupendwa.
Kwa hoja yako naomba Nikupe story fupi sana:
Juzi nipo lodge moja nzuri tu kulala chumba kinaanzia 50,000/- nikalipia nikapanda kupumzika, ila nikakumbuka mkoa ule nina lidada limoja lina shepu kama stand ya SGR ya JPM pale Dsm.
Nikaona nimstue aje nipige kamoja nioate usingizi, nikamchek akasema anaachia mtu kazi anakuja dk 20 anarudi.
Sasa ile anaanza kuja nikaona nishuke nimsubiria mapokezi asije hangaika kiutafuta chumba...
Nimefika mapokezi nikakuta pale kwenyr kochi la wagemi kuna kizuri kimeshika begi ni kama kinasubiria kuingia au kina log out. Nikakisalimu ile nakaa muda fupi mgeni wangu akawa ameingia, wakasalimiana mambo poaw poa...nikanyanyuka na mtu wangu aliekuja kwenda room.
Mgeni wangu akaondoka, ie nashuka nikatafute chakula huko nje, nakuta kile kidada kipo pale ila hakina begi tena. Nikakitania kumbe bado upo hapa kikasema nipo...sikuendelea na story nikakipa simu sehemu ya kuandika namba kikaandika nikasepa.
Pamoja na kwamba kimeona nimeingia na mwanamke nilipewa namba kirahis sana na kifuatacho ITV kinajulikana.
Hivyo wasichana wengi wanapenda wanaume wa hivyo
Kukataliwa ni kipimo cha utu, hasa mwanamme kukataliwa na binti.Ughonile.,
Kuna ile hali unasema yule mkaka/mdada nikitupia ndoano tu lazima anase lakini mwisho wa siku unapigwa kibuti kimoja saafi unabaki umeduwaa.
Ukijitathmini unaona uko fresh kabisa, uko vizuri kiuchumi, handsome/mrembo, una kausafiri kako, unatokea familia yenye profile kubwa, msomi n.k na mbaya zaidi unakuta mhusika anakua anajua status yako in and out lakini anakuchomolea?
Vipi wewe ishawahi kukutokea? Ulijiskiaje?
hua nahisi kwamba ana kasoro kubwa ndani yake,Ughonile.,
Kuna ile hali unasema yule mkaka/mdada nikitupia ndoano tu lazima anase lakini mwisho wa siku unapigwa kibuti kimoja saafi unabaki umeduwaa.
Ukijitathmini unaona uko fresh kabisa, uko vizuri kiuchumi, handsome/mrembo, una kausafiri kako, unatokea familia yenye profile kubwa, msomi n.k na mbaya zaidi unakuta mhusika anakua anajua status yako in and out lakini anakuchomolea?
Vipi wewe ishawahi kukutokea? Ulijiskiaje?

Nani kakudanganya kanajuta?Yani kama mimi najuta huku,nimekataliwa na kabinti la hovyooo. Mbaya zaidi ni majirani na nasikia vile kanakula dushe na vijivulana dredi.Nimebaki kimya nakaangalia tu.Mbaya zaidi mimi ndo msimamizi wa nyumba anazokaa.
Ila nahisi kanajuta pia.,aibu sn kwangu
Sawa,ila nitakatafuna kirahisi na kwa dharau sn mkuu naziona daliliNani kakudanganya kanajuta?
Kula chuma iko