Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

Mimi mmoja tulikutana siku moja saloon akiwa kawaleta wadogo zake basi nikajaribu kujiposition japo sikuomba namba wala nini kwa nilivyo fanya introduction akaja akaomba namba kwa jamaa pale saluni na akanitafuta akiwa haeleweki kwa nn kanitafuta Mimi nikaona huyu kashoboka ile kutegua bomu akaruka maili mia mixer kusema mimi ni kama kaka yake lkn nikaja kujua jamaa wa saluni akaja kuchoma kwamba mimi nimeoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…