KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
basi nakuja hukohuko tutaelewana tu...😀Hapana mkuu sijawahi kufunga PM since nimejiunga jf wanafungia wapi kwanza?😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi nakuja hukohuko tutaelewana tu...😀Hapana mkuu sijawahi kufunga PM since nimejiunga jf wanafungia wapi kwanza?😄
shtukaKumbe unahangaika kwenye PM za watu huko😂😂😂😂basi usije
we ni mzoefu bhanaaku mi sipo hivyo ila naonaga tu vijana wanalalamika wamefungiwa pm sasa we si mmoja wao anaefunga pm...??
VizuriNdio maana uwa sitongozi ovyo ovyo. Nalinda hii brand.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siku hizi hawaangali status wanaangalia ukarimu wako katika kutoa pesa.
Ukiona umekataliwa wewe juwa ni kigwasu aka bahili.
Ebu mkuu nipe hiyo dawa ninywe kabsa sio kuoga tutatizo vijana amkogi dawa
Si ndiooYeah na maisha yanaendelea
Madomo zege mnapeana moyo.Hapo unaniongelea mimi kaka
Kwangu ni opposite am rejected by all of themYou have to accept rejection and that's life not everybody will love or like you if you know that you gonna leave a good life
Kaka mimi sitongozi ovyo na sijawahi kua domo zege tangu nizaliwe ila nina haiba ya ukimya na upoleMadomo zege mnapeana moyo.
may be one day you can find someone who will connect well with youKwangu ni opposite am rejected by all of them
Acha chai mkuu...we ni mzoefu bhana
Iyo ya kutongoza mwenye status kubwa ni obvious kwa sisi wanaumeHuwa natongoza mwenye status kubwa zaidi yangu
Skendo huwa ni nyingi wanahisi natoka na pisi za maana kumbe sio zote zinazonikubalia uzuri wengi wenye status ya chini yangu wanashoboka nabonda
Noma sana mkuu, inauma sanaYes imewahi kunitokea juzi kati tu hapo kuna kademu kamoja cha veta kila nikitoka job nakutana nacho njiani kapo kwa mguu mi nipo ndani ya gari, nikakaingia kwa mbwembwe mi engineer, nna gari(nimeshawagonga mademu kibao kupitia ki ist changu) nikakapiga lunch ya maana nikakapa na lifti nikajua nimepata chakula ya kupooza njaa si kakanikazia bwana.
Baadae nikaja kugundua kamenikazia coz kananiona mi player plus tofauti za kidini.
Iliniuma japokuwa nilikuwa nataka nipige nipite zangu hivi.
Leo najua uko wapi.Nakuja.Kidogo nijiue
Kama IST unafanyia uzinzi ..ukipata RANGE ROVER si utageuzaa Jehanamu ndogoYes imewahi kunitokea juzi kati tu hapo kuna kademu kamoja cha veta kila nikitoka job nakutana nacho njiani kapo kwa mguu mi nipo ndani ya gari, nikakaingia kwa mbwembwe mi engineer, nna gari(nimeshawagonga mademu kibao kupitia ki ist changu) nikakapiga lunch ya maana nikakapa na lifti nikajua nimepata chakula ya kupooza njaa si kakanikazia bwana.
Baadae nikaja kugundua kamenikazia coz kananiona mi player plus tofauti za kidini.
Iliniuma japokuwa nilikuwa nataka nipige nipite zangu hivi.
Mamaaa wa mapishiKidogo nijiue