Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

Ulishawahi kukataliwa pamoja na status yako? Ulijisikiaje?

Mwanangu mmi Ata sijui nimewakosea nini naweza ni katoa tu salamu nikaangaliwa juu mpaka chini "Kuna Ile unamsalimia demu barabarani anagoma kuitikia namwambia Ata salamu anakwambia kwa salamu " lazima" 🥶tena kwa sauti
Na Kuna ile unampa salamu tu anakuamkia fasta na kwa sauti kubwa, 'SHIKAMOO' huku akiipotezea habari uliyomuuliza wewe. Siku hz sisalimii mdada nisiyemjua, labda aanze yeye.
 
ukikataliwa unatakiwa umshukuru mungu hujui amekuepusha na nn
unaweza lazimasha likakukuta jambo
Hii ni kujifariji hakuna cha kuepushwa wala nini kwahyo mtu akibeti akachaniwa timu zote hapo kakosa milion 50 hapo anakuwa kuepushwa na nini?

Huyajui machungu ya kuchaniwa mkeka wewe🤣alafu ukute umeandika both team to score🤣
 
Mwanangu mmi Ata sijui nimewakosea nini naweza ni katoa tu salamu nikaangaliwa juu mpaka chini "Kuna Ile unamsalimia demu barabarani anagoma kuitikia namwambia Ata salamu anakwambia kwa salamu " lazima" 🥶tena kwa sauti
Kimbia kwa Babu wa loliondoo
 
Sijawaji tongoza nikakataliwa. Ni kwasababu Hadi natongoza nishajua huyu anakataa au anakubali..
Na mara nyingi hata sitongozi ila kuna namna naishi nae muhisika ninaye mtaka hadi tuko kwenye mahusiano ambayo Hajui kafikaje

Hawa viumbe kuna coord zao ukijua huteseki alafu Kikubwa ni tongoza ambae yuko kwenye njia yako(Kuna sababu ya ww na yeye kuwa karibu) Kama haipo itengeneze then ndo unamtongoza.

Sa mtu unakutana na mdada njiani eti kisa una gari unasimama unaomba namba unapewa badae unamtokea, ukiona umekubaliwa jua huyo ni malaya ila anae jitambua haezi kubali huo ujinga.

Sio kila uonacho utakipata lazima tuwe na heshima na hisia zetu
 
Binafsi kuna wanawake hasa hivi vitoto vya 2000 huwa sihangaiki navyo kuvitongoza ,huwa nadeal na wazee wenzangu tu wa huko 90s na 80s.hivi vitoto vya 2000 Bado vinaishi fantasy life ni rahisi kukuchomolea ukipiga sound.
 
Mwanangu mmi Ata sijui nimewakosea nini naweza ni katoa tu salamu nikaangaliwa juu mpaka chini "Kuna Ile unamsalimia demu barabarani anagoma kuitikia namwambia Ata salamu anakwambia kwa salamu " lazima" 🥶tena kwa sauti
Gundu hilo afsa.
 
Binafsi kuna wanawake hasa hivi vitoto vya 2000 huwa sihangaiki navyo kuvitongoza ,huwa nadeal na wazee wenzangu tu wa huko 90s na 80s.hivi vitoto vya 2000 Bado vinaishi fantasy life ni rahisi kukuchomolea ukipiga sound.
Inategemea na mkoa uliopo kaka
 
Nilienda Singida kufanya kazi kwenye hivi vyuo ambavyo wanafunzi wanavaa sare. Nina sura ambayo haiendani na umri wangu hua naonekana mdogo kwa kujudge sura.

Pale mimi nilikua ni PR Officer. Kuna kazi mbili nilizielewa moja ilikua ipo chuo mwaka wa 2 nyingine ilikua ipo mapokezi.

Zote zilichomoa kwa kigezo kwamba mimi ni mdogo but hizi kazi ile ya chuo ina 19 ya mapokezi ina 22 kipindi hicho mimi nina 30.
 
Back
Top Bottom