Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mbaya zaidi kitimoto hukula, daah inuma sana.
Iliniuma, kufika home tena ikawa ugomvi bro anamind mi mwanafunzi usiku huo natoka wapi.....yani anataka aniwashe vibao, sista ananitetea bro haelewi akaniambia kimbia chumbani, mi nduki nikajifungia chumbani nikalala njaa naogopa kutoka nitapigwa kwakweli hiyo siku Ilikua ni bad day jamani....from oder ya kitimoto kg 2 hadi kulala njaa
 
Usiniambie kijibaba kilikimbia bill na weweπŸ˜…
Man Siwezi kukimbiwa bill..sili chakula kwa kukomoa hata siku moja.na ikitokea ukaona nakutia hasara…tafadhali kila mtu alipe bill yake.ikitokea umekimbia I will clear that bill…
Ifike wakati mwanaume akuheshimu aise…kulia lia njaa kila mara inashusha utu na heshima🀟🏿
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Im lost in laughter!!! Kwahio mzee alipobadili gia angani ukakumbuka ambavyo mlibeba skuna zenu ukawahi fasta kumshika maana angekuachia meza ungejuta

Hapa husband alikua kalipa bill tayari na asingeweza kuniachia bill, ila sasa tulivomaindiana akawa anaondoka halafu mi sina hata mia hapo weeee nilikimbia jamani kumfata 🀣🀣🀣 yani hizo mbio
 
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hapa husband alikua kalipa bill tayari na asingeweza kuniachia bill, ila sasa tulivomaindiana akawa anaondoka halafu mi sina hata mia hapo weeee nilikimbia jamani kumfata 🀣🀣🀣 yani hizo mbio
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Kwahio ungekuwa na kibunda ungekaza
 
Afu kilichoniuma sana nilikua natembea kwa mawazo ni ile kitimoto yani nimeagiza halafu hata sikuitia machoni.....Mungu atanilipa 🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Kwahio ungekuwa na kibunda ungekaza
Yeah ingenipa confidence ningeamka taratibu tu kama ni bajaji ningekuchkua nikaenda home....nisingekua na zile mbio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…