Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa mbunye bar jamani???? Ilikua mtoko wa kula tu na maongezi
Kwanini ujipangie ni mtoko wa maongezi angali huna hata mia mbovu..?
Wanadada wanaoweza kujilipia bills ndio wenye uwezo wa kua na maamuzi uwe mtoko wa aina gani.

Unakua na mwanamke hawezi jilipia hata nauli? #shame.

Ndege wafananao.
 
Afu kilichoniuma sana nilikua natembea kwa mawazo ni ile kitimoto yani nimeagiza halafu hata sikuitia machoni.....Mungu atanilipa 🀣🀣🀣🀣
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Uliishia kusikia harufu tu
 
Kujiwekea uzio Hahaha...umemaliza mkuu
 
Mmmh kwani siku hizi Wadada wa Mwanza wana andika kwa tone za ki men ?
 
Basi chukua lesson hapa dia wangu, huu mtoko kwakweli kuna siku nakumbuka nacheka jamani ile moment ya kufukuzwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tushawah kutolewa out na rafiki zangu watatu pale kingdom hotel
aisee sijawah ona wababa kama wale tulikunywa ,tulikula ,anaesikia njaa anaagiza tu chakula tena hao wababa wanaita muhudumu walete chakula kisikosane mezani na vinywaji mi mpaka nilichoka nikaaga kurudi home walikaa wiki mi mpaka nikawa nakunywa maji tu halaf kumbe ukinywa pombe kali za bei hata hangover hakuna nyie
Ila mi nilikuwa naonja tu kidogo sikuwa mzoefu wa pombe kali Henessy kuna watu sio wabahili kama pesa ipo
 
Kwanini ujipangie ni mtoko wa maongezi angali huna hata mia mbovu..?
Wanadada wanaoweza kujilipia bills ndio wenye uwezo wa kua na maamuzi uwe mtoko wa aina gani.

Unakua na mwanamke hawezi jilipia hata nauli? #shame.

Ndege wafananao.

Hii sio ya jana wala ni miaka mingi nikiwa mwanafunzi nadhani nlikua form 4 hivi, kwahiyo kutoka bila hela kawaida tu....leo nshakua mtu mzima sana hizo ni zilipendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…