Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Kumbe muhuni unainjoy tu mbunye
Hakuna namna mpaka aje ashtuke atakuwa kapoteza sana, tatzo kalikua kananiletea ulokole mwingi siku moja nikamroga na kavideo ka slomosheni(hawa ndugu zetu wanalika kwa vitu vya kawaida sana).
 
Alafu pia okana ya bwiru na rufiji ni karibu, si zaidi ya 3 km.
 
Pesa ya mwamba lazima uitumikie🤣🤣🤣
 
Pole shemela..!!! Skonkonko kubebwa mkoni si mchezo
 
A

Again😂😂😂
 
Unatakiwa ukifika unausoma mchezo unaagiza unavyoweza kulipia kuepuka fedheha

Kuna uzi umetolewa huko wapewa offa muwe mnajitathimini
Vipi umesahau nilivyokuachia pale wanaita kwa Wazungu?🤣🤣
 
Wanawake wajinga sana umeitwa sehém unaagiza chakula au kinywaji cha bei kubwa, ambacho wewe mwenyew usingekua tayar kujinunulia kama ungekua pekeyako... Ukitaka mwanaume akuone msenge na aishie kukuchezea first meeting fanya upuuzi huo... Afadhali uagize vinywaj au vyakula vya gharama halafu uchangie bill sio bill inakuja unajifanya upo bize na cm kama fundi... Unakuta mwanamke ni mnywaji mzuri wa Serengeti Castle lite, Kilimanjaro lite ila kwavile kaitwa outing basi anataka kuagiza Savannah 10, au Hennessy, JackDaniel... Halafu ukute outing yenyew kaomba kwa kulazimisha 😂 halafu kuna ule upumbav wa kupiga picha vinywaj na vyakula na kujirekodi uko wap, mwanaume mwenye akili anakuona chizi tu...
 
Glenn hebu niache kidogo 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…