Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

Ehuuuu jamani nami nshapigwa matukio, baba chanja siku moja tupo band sijui tulizinguana nini pale mezani akaamka akaniacha....weeeh nilitoka nduki namkimbilia na nimevaa skonkiko kama kawaida jamani kuna mambo yanachekesha🀣🀣🀣 zile mbio zote nilikuwa tu sina hela πŸ˜‚
 
Uachage ikorofi wakoπŸ˜…
 
...bwanaweeeehhh eti akamind akaanza kunifokea na hakuishia hapo akatufukuza bila hata nauliπŸ˜‚πŸ˜‚ vinywaji hatujamaliza wala kitimoto haijafika....ana dhambi yule fala 😁
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 nimecheka kama fala
 
KUna jamaa yangu, yeye kila anapomwambia mkewe watoke, mke hata kama ana hela, ataingia ndani, anatengana nazo halafu anarudi waondoke
 
Bibi na bwana boda au bibi na bwana mfukuzaji?
 
Ukiona hivyo mwamba alishachoka dizaini amekutana na sampuli hizo kadhaa akaona isiwe tabu..
Muhuni anazijua namba chafu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kaona wasimtanie kabisaaaa
Mlikuwa mnazingua..!! Kuna demu alikuwa ananijia na mtoto..!! Siku nikasema liwalo na liwe..!! Nikala mzigo
Hahahahah we msenge muuaji dah. Dogo ulimfungia nje nini
 
Oya kimeumana huku πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…