Ulishawahi kukimbiwa na kuachiwa bili mezani? Ilikuaje?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwakweli ile siku huwa siisahau si angetupa hata buku jamani tupande daladala tulifukuzwa kama mbwa [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa had machoziii.
 
Sasaivi nimekumbuka tukio kama hili lako

Siku hiyo nilikuwa natoka zangu uko kuzulula kufika home nimemkuta dada yangu kaulamba kweli nikamwambia unatoka akasema ndio kwaza vaa tutoke wote hili mzee asije leta noma nikavaa chap

Tumetoka getini akawa anaongea na jamaa akasema ametuma boda kufika pale boda akaaza kisilani sibebi wawili dada angu mtata akasema basi acha

Tukafosi kupanda hivyo hivyo kufika pale eneo la tukia jamaa akapiga simu upo na nan? Dada akajibu na mdogo wangu yul jamaa akakata simu dad akapiga tena akupokea nikamwambia huyo jamaa mshamba embu achana naee tuludi home tukaludi home mda uho uho dada angu mwingine alitucheka sana

[emoji86][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa mtoto wa kiume unaenda dada ako kaitwaa kufanya nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom