Sijawahi kukosea ktk kutuma, ila mtu alikosea kutuma ikaingia kwangu. Ilikua 170k.
Wakati huo niko Likizo, aseeh nikakaa kmya tyuuh, ile hela sikuitoa, na ilitumwa kutoka bank, niliiacha humo humo,
Hadi likizo inakaribia kuisha ckupokea text ya kuuliziwa kuhusu pesa wala muamala kurudishwa bank, ilipobaki siku 1 ili nirudi shule, nkajiandaa zangu sku ya 2 nkasepaa.
Nimefika shule nkakaa week, sku ya weekend nkaenda town nkatoa ile hela na nkanunua ukumbusho had leo upoo. Cjui ile 170k ilitumwa na nani, had leo sijui hata .