Ulishawahi kukosea muamala wa kiasi gani kwenye simu yako?

Ulishawahi kukosea muamala wa kiasi gani kwenye simu yako?

Nazani 7k nayo nilkua naangalia jina la mtu kwa m,pesa kumbe nka weka kiasi nilicho nacho na nka enda adi mwisho pesa ika enda [emoji28][emoji28]
 
7000.Moto uliwaka ,matusi yaliporomoshwa ,mtu aliwambwa makofi.
 
Ilikuwaje hii ndugu..?
Niliienda kwa wakala nikampa namba na jina ye analeta masihara .Akatuma kwa mtu mwingine.Yule dogo hana hamu .Sidhani kama atakuja kutuma hela kimakosa tena.
 
Jioni ya leo nimeenda kutuma pesa kwa wakala,mama kanituma

195,000,,,,,imeenda siko,sasa narudi nimwambie mimi tayari,. Kupiga kwa mpokeaji anasema hajaona,

Kurudi kwa wakala jioni hivi, kupiga kwa namba aliyotuma pesa anapokea mbaba anasema ampigie baadae yupo kwenye makelele,

Hapa sielewi kwanza,
Duuh polee sana aseeeh.
 
Mie juzi birthday ya mdg angu wa kike.. nikazama CRDB nimtumie 500k aisee nikaituma kama vocha badala ya pesa taslim.

Nashangaa sina hili wala lile dogo kanipigia simu anasema KAKA vocha ya laki 5 mie naipeleka wapi jamani uwiiii..

Muda huo natuma sikumwambia nilifanya kama surprise.. basi ikabidi nimwambie atajua yeye ataitumiaje auze kwa bei pungufu etc
 
Ka elfu ishirini kangu. Nilikuwa namtumia dogo nikakosea nikamtumia mbaba gani sijui!!! Nikampigia namwambia anirudishie akanijibu "asante sana mwanangu" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom