Ulishawahi kukosea muamala wa kiasi gani kwenye simu yako?

mimi niliingiziwa millioni 250 kwenye akaunti yangu ya NMb ,siku naangalia angalia nmb mobile kutoka ni nunue Bando mdo nashangaa mapesa mengi ila niliogopa sikutoa hata mia kwa kuwa najua sheria za bank ni noma niliishia kuwaringishia MARAFIKI zangu kama mwezi hivi wakala wakaiondoa wenyewe
 
Duh! Huo mzigo ulikuwa mrefu sana, lazima uogope.
 
Huwa natambua, watu tuna changamoto nyingi. Pesa unaweza kuizima kumbe unafelisha jambo la muhimu la mtu, aidha ilipaswa kuokoa uhai wa mtu au kufanikisha jambo la msingi ambalo lingewezesha kesho yake isiwe yenye majuto. Uaminifu Ni kitu kidogo ila kina maana kubwa sana ndani yake
Tubarikiwe sana.
 
Kuna mwaka Fulani wakati wa Magufuli sijui ni 2020 kulikua na sensa ya mifugo sasa jumapili moja ya mwezi wa 12 asubuhi nikapokea muamala wa Tsh 600,000/= na sikua na miadi ya kutumiwa pesa na mtu yeyote so nikajua Kuna mtu atakua amekosea kuituma, niliipiga ile namba haikupatikana nikasema nisiitoe ili jioni nijaribu tena kumtafuta au akijua amekosea awapigie voda wairudishe, still jioni hakupatikana, nilikaa wiki nzima hakupatikana basi nikatoa nusu nikasema akipatikana nitampa nusu nusu iliyobaki nitamuomba nimlipe mwisho wa mwezi maana ilibaki kama wiki moja mshahara utoke, still namba haikupatikana, sasa imefika January tarehe 7, naona namba ngeni nikapokea jamaa akajitambulisha kuwa ni nani na mwezi wa 12 alinitumia pesa kimakosa na kule walipokua kijijini hakukua na network so Siku hiyo walikua mahali wakabahatisha network hivyo akatuma pesa harakaharaka akimtumia ndugu yake ili alipie ada ya mtoto walikua kwenye sensa ya kuhesabu ng'ombe huko vijijini, aliniomba nimpe hata nusu nilimkubalia nikamwambia anitumie account ya hiyo shule nitalipia akakubali akanitumia but moyoni najiuliza nitaitoa wapi na pesa zote nishamaliza masuala ya ada kwa wadogo zangu but nadhani ile willingness to pay na hata mwanzoni nilipoipokea lengo ilikua ni kuirudisha nadhani Mungu alinielewa, nilichek kwenye M-PESA nilibakiza buku ya vocha nikasema sina hamu hata ya kuongea na watu nilikua nafikiria namna jamaa atakavyohangaika kuipata hiyo ada ya mwanaye, basi nilajisemea moyoni bora nibetie hiyo buku tu huku nikiwaza kesho nimtafute Mzee mmoja rafiki yangu anikopeshe laki tano ili niongeze laki nimlipie ada, basi nikampigia Mzee anaitwa George nikamuomba tuonane jioni Kuna bar moja karibu na kwake yy hupenda kunywa jirani na nyumbani akasema sawa, basi nikatengeneza mkeka nikachukua timu za series b na segunda division nikachagua timu saba nikazipa draw kama timu nne na gg zilizobaki nikaweka buku nikaendelea na mishe zingine, jioni Mzee George ananipigia uko wapi Mimi nishafika nikamwambia agiza nakuja nilifika tukaanza kunywa nikawa nasubiri Mzee kinywaji kikolee then nimwambie shida yangu, sasa wakati nachezea cm nikakumbuka kwamba niliweka mkeka ambao nilichagua odds kubwakubwa tu nikijua siwezi kula sasa ile nafungua app ya hiyo kampuni nakuta Tsh 1,650,000/= ikabidi nikague zile timu nakuta zote zimetoa dah! palepale nikawithdraw pesa zote yule jamaa nikamtumia 625,000 nikamwambia nasafiri usiku huu hivyo kesho sitokua na muda wa kwenda bank so akalipe mwenyewe na twenty inayobaki Leo weekend upate beer mbili tatu jamaa akasema ulijuaje man yaani toka asubuhi Niko home nakwaruzana tu na wife kisa hiyo pesa, jamaa mpaka Leo familia zetu zimekua ndugu, Mzee George ilibidi nibadili topic kuwa lengo ni kumpongeza manake ni mshabiki wa Yanga na Chelsea vibaya tuligonga vyombo then kila mtu akaenda kwake.
 
Hongera sana mkuu kwa uungwana ulioufanya.
 
Mm nilikuwa nanunua vocha ya tigo kutokea CRDB application

Badala ya 1500...nikanunua vocha ya laki nanusu ..nilihaha

Ila nilimpata mshika wa tigo anaitoa kujirushia alivomaliza akanipa pesa yangu ila alikata arobain nikapoa tu bora nusu shari kuliko shari kamili
Iliwahi kunikuta kama hii, details ni hizohizo kama zako kasoro hapo kwenye dau mimi ilikuwa ni 25k[emoji16][emoji16]
 
mimi niliingiziwa millioni 250 kwenye akaunti yangu ya NMb ,siku naangalia angalia nmb mobile kutoka ni nunue Bando mdo nashangaa mapesa mengi ila niliogopa sikutoa hata mia kwa kuwa najua sheria za bank ni noma niliishia kuwaringishia MARAFIKI zangu kama mwezi hivi wakala wakaiondoa wenyewe
Asee nnge chomoa kiasi ..case za hivi huwa zina ishia mediation kulipa kwa stage na ata ikifikia judgment still amna kulipa yote once
 
Mm nilikuwa nanunua vocha ya tigo kutokea CRDB application

Badala ya 1500...nikanunua vocha ya laki nanusu ..nilihaha

Ila nilimpata mshika wa tigo anaitoa kujirushia alivomaliza akanipa pesa yangu ila alikata arobain nikapoa tu bora nusu shari kuliko shari kamili
Iyo laki na nusu ungeacha kama vocha ya kujiungia bando la internet donga
 
Kuna mwaka Fulani wakati wa Magufuli sijui ni 2020 kulikua na sensa ya mifugo sasa jumapili moja ya mwezi wa 12 asubuhi nikapokea muamala wa Tsh 600,000/= na sikua na miadi ya kutumiwa pesa na mtu yeyote so nikajua Kuna mtu atakua amekosea kuituma, niliipiga ile namba haikupatikana nikasema nisiitoe ili jioni nijaribu tena kumtafuta au akijua amekosea awapigie voda wairudishe, still jioni hakupatikana, nilikaa wiki nzima hakupatikana basi nikatoa nusu nikasema akipatikana nitampa nusu nusu iliyobaki nitamuomba nimlipe mwisho wa mwezi maana ilibaki kama wiki moja mshahara utoke, still namba haikupatikana, sasa imefika January tarehe 7, naona namba ngeni nikapokea jamaa akajitambulisha kuwa ni nani na mwezi wa 12 alinitumia pesa kimakosa na kule walipokua kijijini hakukua na network so Siku hiyo walikua mahali wakabahatisha network hivyo akatuma pesa harakaharaka akimtumia ndugu yake ili alipie ada ya mtoto walikua kwenye sensa ya kuhesabu ng'ombe huko vijijini, aliniomba nimpe hata nusu nilimkubalia nikamwambia anitumie account ya hiyo shule nitalipia akakubali akanitumia but moyoni najiuliza nitaitoa wapi na pesa zote nishamaliza masuala ya ada kwa wadogo zangu but nadhani ile willingness to pay na hata mwanzoni nilipoipokea lengo ilikua ni kuirudisha nadhani Mungu alinielewa, nilichek kwenye M-PESA nilibakiza buku ya vocha nikasema sina hamu hata ya kuongea na watu nilikua nafikiria namna jamaa atakavyohangaika kuipata hiyo ada ya mwanaye, basi nilajisemea moyoni bora nibetie hiyo buku tu huku nikiwaza kesho nimtafute Mzee mmoja rafiki yangu anikopeshe laki tano ili niongeze laki nimlipie ada, basi nikampigia Mzee anaitwa George nikamuomba tuonane jioni Kuna bar moja karibu na kwake yy hupenda kunywa jirani na nyumbani akasema sawa, basi nikatengeneza mkeka nikachukua timu za series b na segunda division nikachagua timu saba nikazipa draw kama timu nne na gg zilizobaki nikaweka buku nikaendelea na mishe zingine, jioni Mzee George ananipigia uko wapi Mimi nishafika nikamwambia agiza nakuja nilifika tukaanza kunywa nikawa nasubiri Mzee kinywaji kikolee then nimwambie shida yangu, sasa wakati nachezea cm nikakumbuka kwamba niliweka mkeka ambao nilichagua odds kubwakubwa tu nikijua siwezi kula sasa ile nafungua app ya hiyo kampuni nakuta Tsh 1,650,000/= ikabidi nikague zile timu nakuta zote zimetoa dah! palepale nikawithdraw pesa zote yule jamaa nikamtumia 625,000 nikamwambia nasafiri usiku huu hivyo kesho sitokua na muda wa kwenda bank so akalipe mwenyewe na twenty inayobaki Leo weekend upate beer mbili tatu jamaa akasema ulijuaje man yaani toka asubuhi Niko home nakwaruzana tu na wife kisa hiyo pesa, jamaa mpaka Leo familia zetu zimekua ndugu, Mzee George ilibidi nibadili topic kuwa lengo ni kumpongeza manake ni mshabiki wa Yanga na Chelsea vibaya tuligonga vyombo then kila mtu akaenda kwake.
Duh noma
 
mimi mwezi uliopita tu nimtuma mtu akaninunulie vocha za kutuma kwa mawakala,na huwa sio utaratibu wangu kabisa,wakakosea namba moja 16 vocha ikaenda kwingine,iliniuma ile vocha karibia wiki nzima.

kuhusu hela sijawahi kukosea kutuma,ila jamaa yangu alituma laki 950,halafu akalala,masaa 6 baadae aliyekuwa anamtumia anasumbua kwenye simu,kucheki sms ya muamala jina tofauti kabisa,kuwapigia airtel jamaa aliishaitoa na line kavunja,mwamba nilimkuta anatetemeka na jasho linamtoka.
 
Duh! Hii ilikuwa noma sana..😁
 
Mie juzi birthday ya mdg angu wa kike.. nikazama CRDB nimtumie 500k aisee nikaituma kama vocha badala ya pesa taslim.

Nashangaa sina hili wala lile dogo kanipigia simu anasema KAKA vocha ya laki 5 mie naipeleka wapi jamani uwiiii..

Muda huo natuma sikumwambia nilifanya kama surprise.. basi ikabidi nimwambie atajua yeye ataitumiaje auze kwa bei pungufu etc
DUH POLE
 
Back
Top Bottom