We ndio maana voda walikupa onyo uwe makini..π€£Ehee nishawahi kukosea kutuma elf 30 kwa mlengwa ππ. Lengo nimtumie second born. Pale kwenye Fav contacts nikaclick namba ya third born pasipo kujua afu kibaya zaidi 2nd born alitumia NIDA yake kumsajilia 3rd born laini, so niliona jina nika confirm muamala.
Nilikuja kushtuka baada ya kuona sms ya 3rd born kanasema huna baya tajeerr na makopa mengi ndo kushtuka π nikavunga sikumwambia km nmekosea, nisishushe brand dada mkubwa nikamwambia boom likitoka unarudisha
wakati nna tigopesa alikuja mteja kutuma 10k nyie nikakosea nikatuma 100k ππaaahEhee nishawahi kukosea kutuma elf 30 kwa mlengwa ππ. Lengo nimtumie second born. Pale kwenye Fav contacts nikaclick namba ya third born pasipo kujua afu kibaya zaidi 2nd born alitumia NIDA yake kumsajilia 3rd born laini, so niliona jina nika confirm muamala.
Nilikuja kushtuka baada ya kuona sms ya 3rd born kanasema huna baya tajeerr na makopa mengi ndo kushtuka π nikavunga sikumwambia km nmekosea, nisishushe brand dada mkubwa nikamwambia boom likitoka unarudisha
Uwiiii,, wa umeme ulifanyaje? Maana wa 100k unaweza rudisha muamala, ila kama ndo alikimbilia kutoawakati nna tigopesa alikuja mteja kutuma 10k nyie nikakosea nikatuma 100k ππaaah
mwingine kaja kununua umeme wa 20k nikanunua wa 200k
Kishingo upande ππEhee nishawahi kukosea kutuma elf 30 kwa mlengwa ππ. Lengo nimtumie second born. Pale kwenye Fav contacts nikaclick namba ya third born pasipo kujua afu kibaya zaidi 2nd born alitumia NIDA yake kumsajilia 3rd born laini, so niliona jina nika confirm muamala.
Nilikuja kushtuka baada ya kuona sms ya 3rd born kanasema huna baya tajeerr na makopa mengi ndo kushtuka π nikavunga sikumwambia km nmekosea, nisishushe brand dada mkubwa nikamwambia boom likitoka unarudisha
wa 100k aliitoaUwiiii,, wa umeme ulifanyaje? Maana wa 100k unaweza rudisha muamala, ila kama ndo alikimbilia kutoa
Duh! Bahati ilikuwa upande wenu sikuhiyo.Milioni moja na laki 2, siku hiyo Jamaa alinipa Hela nimuwekee Rafiki yake ila kwa kule nilipo ilinibidi nikusanye kidogo kidogo kwa Mawakala.... pale laki 2 kule laki 1, hapa Elfu 50 hadi ikatimia Milioni 1 na laki 2 ila nilikua naweka katika Line yangu.... Bwana Bwana kumbe zile namba kakosea na mbaya zaidi hakunipa Jina.... kesho yake ananipigia ILE HELA MBONA HAJAIPATA kumutumia ile meseji ya Muamala akasema AYAAAAA... HII NAMBA NILIIKOSEA nikapiga Tigo kama kujaribu tu, Tigo wakaniambia HII HELA ILIKUA TU HEWANI SABABU HII NAMBA ULIYOTUMA PESA BADO HAIJASAJILIWA ndo pona yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleee.ni leo asubuhi nimetoka kukosea nilikua natuma hela ya mchezo nyieeee chest pain nilonayo ni Mungu anajua
nna mawazo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleee.
Duuh polee sana.nna mawazo