MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Wacha uongo wewe, Sokoine alikuwa mkristo mkatolikiMAREHEMU SOKOINE ALIKUWA MUISLAM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha uongo wewe, Sokoine alikuwa mkristo mkatolikiMAREHEMU SOKOINE ALIKUWA MUISLAM
Wahamiaji kutoka bara, japo hata wazanzibar wachache wapo.wanzanzibar wakristo wapo,ninaowafahamu ni wakristo wa dhehebu la anglican.
mojawapo ni mtangazaji maarufu nchini tz Charles Hilary ambaye kwa sasa anatangazia azam tv na aliyewahai kuwa chief justice augustino ramadan,wengine ninaowafahamu sio watu maarufu.
siku utakapo fanya matembezi visiwani zanzibar,jumapili moja nenda pale anglican cathedral,utaona baadhi ya wanzanzibar wakristo na familia zao wakiwa katika ibada.
![]()
hata wafanyakazi waswahili wanaofanya kazi pale,ni wanzanzibar wakristo.wanazungumza kiswahili pure cha kinzanzibar,lakini ni wakristo.
ila hailingani na jinsi wakristo wanavyonyanyaswa kwenye nchi zenye waislamu wengi..
usiwe mbishi sasa wapo waarabu kabisa wakristo saudia au kama hujapekua google au ingia you tube tafuta ujionee au ukitaka wanaobatizwa utawaona wengi tuSaudia wanaosalia kwenye makanisa yaliyojificha ni waphilipino.
sio wahamiaji ni wazawa kabisa unafikiri makanisa hayo yamejengwa na wabara?? hao ni wazawa walioachiwa na wamisionari na ni wakristo wazawa sio wahamiaji ukitaka kawaulizeWahamiaji kutoka bara, japo hata wazanzibar wachache wapo.
Ngumu kumesa, Wakristo wanavyopenda elimu hivyo serikali nzima ingekuwa na waislam 100%?sio wahamiaji ni wazawa kabisa unafikiri makanisa hayo yamejengwa na wabara?? hao ni wazawa walioachiwa na wamisionari na ni wakristo wazawa sio wahamiaji ukitaka kawaulize
Mimi binafsi nimeishi saudia,hakuna wasaudi asilia ambao ni wakristo labda walioasiliwa,na labda mafuta yaje kuisha,lakini huwezi kutegemea gugo.usiwe mbishi sasa wapo waarabu kabisa wakristo saudia au kama hujapekua google au ingia you tube tafuta ujionee au ukitaka wanaobatizwa utawaona wengi tu
duuu si kweli wapo wachache sana na wanakaa kakijiji kadogo sana tena ndio wachina maskini sana hao pekua ujionee mijini wengi ni mabudha na wakristo wapo wengi sana chinaTena wachina waislamu ni wengi kuliko waislamu wote wa Tanzania
Kijiji gani? Xinjiang ni kijiji?wanakaa kakijiji kadogo sana
we jamaa unaonekana una asili ya ubishi sitaki kubishana nawewe ingia you tube kama huamini gogMimi binafsi nimeishi saudia,hakuna wasaudi asilia ambao ni wakristo labda walioasiliwa,na labda mafuta yaje kuisha,lakini huwezi kutegemea gugo.
Hili jukwaa bhana lete uthibitisho hapa jukwaani ili wakuu na wadau wauone,sio porojo! Eti niende gugo au you tube what a lazy thinker teh..teh.we jamaa unaonekana una asili ya ubishi sitaki kubishana nawewe ingia you tube kama huamini gog
yah lakini ni wanzanzibar.Wahamiaji kutoka bara, japo hata wazanzibar wachache wapo.
Okyah lakini ni wanzanzibar.
hata familia ya karume,baba yao alikuwa ni muhamiaji mwenye asili ya malawi.
Hahacc: Daby
ina maana hao waarbu wanaiga mbinu ya wakiristo ambao miaka yote hutumia mbinu zaidi kuwaritadisha watu kuliko kutumia bibliaWamasai waislaam wapo japo wachache. .....wengi ni MAKAFIRI.
wapo. pale Monduli mwaka juzi waarabu waliingia wakamwaga pesa (hongo/chambo/kivutio) nyingi saaana kusilimisha na waliwapata wengi kiasi
wapo mkuu nipo naoMkuu swaumu imebamba sana ...?
maana maswali unayo tuswalika ni tatanishi sana
kama la kuuliza "ushawahi kutana na masai albino".
Mkanisa Zanzibar yalijengwa na Missionary, hakuna mzawa aliejenga Kanisasio wahamiaji ni wazawa kabisa unafikiri makanisa hayo yamejengwa na wabara?? hao ni wazawa walioachiwa na wamisionari na ni wakristo wazawa sio wahamiaji ukitaka kawaulize