tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,482
Asante nitakuja wkeend bestKaribu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante nitakuja wkeend bestKaribu
Roho inakuuma tu. Huna zaidi.
Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?
Karibuni wakuu
wanzanzibar wakristo wapo,ninaowafahamu ni wakristo wa dhehebu la anglican.Ni wakutafuta kwa tochi kama ilivyo Wanzibar kuwa wakristo.
Sasa hivi ukinyanyasa waisilamu unakuwa rafiki ya mabwanyenye.Hatujasikia hao wengine kunyanyashwa isipokuwa waislamu tu
Saudia wanaosalia kwenye makanisa yaliyojificha ni waphilipino.Yapo makanisa sema yamejificha ila kuna kubwa lipo kabisa sema nimesahau sehemu tambua kuna waarabu wazawa wakristo wapo wengi tu na wengi wanasalia ndani mwao so inasemekana saudia kuna wakristo wengi wanaosali kwa kujifichaficha tofauti na wale wazawa ambao wapo huru ila wanaobadili uislam kwenda ukristo ndio wanaojificha
Tena wachina waislamu ni wengi kuliko waislamu wote wa TanzaniaNini masai muislam hata wachina waislam wapo.
Kuna ustadh WANG Xi.
Sijalijua hilo.Tena wachina waislamu ni wengi kuliko waislamu wote wa Tanzania
Wachina wengi tu waislamu, hila mikoa fulani ndio wanapatikana saanaNini masai muislam hata wachina waislam wapo.
Kuna ustadh WANG Xi.
kipochi manyoyaMkuu papuchi ndiyo nini?
Kama hapa kwetu.Wachina wengi tu waislamu, hila mikoa fulani ndio wanapatikana saana
ila hailingani na jinsi wakristo wanavyonyanyaswa kwenye nchi zenye waislamu wengi..Ila waislamu China wananyanyaswa sana