Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?

Karibuni wakuu


Ukienda sehemu iitwayo Nanja, mbele kidogo ya Monduli jeshini kwenye barabara kuu Arusha to Babati, barabarani kabisa utaona msikiti na immam wa pale pia waumini ni wamasai pure.
 
Mimi ni mmoja wapo baba mama masai na ni waislam. .mmasai original yake hana dinii ni mpagani
 
Hiyo sio point! Waislamu wachina wananyanyaswa na utawala wa kikomunist wa china,wakristu ambao ni wachache nchini china pia wananyanyaswa mabudha na watibet pia wananyanyaswa kiongozi wao wa kiroho dalai lama haruhusiwi china,anaishi india.wanafunzi waafrika pia wananyanyaswa.
Hatujasikia hao wengine kunyanyashwa isipokuwa waislamu tu
 
Weka kwenye kichwa chako, hayo mashuka kwa sasa yanavaliwa na kila kabila, so sio kila ukiona mtu kavaa hayo maguo basi ni Mmasai

Usiku mwema

Roho inakuuma tu. Huna zaidi.
 
Hata yule Hussein Machozi muimbaji nafikiri ni Mwislam tena kwa kuzaliwa na ni Mmasai ni kweli Wamasai na hata wasukuma wemeingia ktk dini ya ki islam au ukristu sababu labda ya shule ama kujichanganya na jamii nyingine na mfano Wasukuma wengi waliosoma wanaangukia ukristu lakini kwa asili wana dini za jadi hauwezi kuwalinganisha na Wachaga/haya au watu wa Iringa/Mbeya the same to Masai hawana dini hizi sema mazingira yao sehem kubwa waki adopt hizi dini wanaingia ukristu na wachache kwa kujichanganya na jamii mbalimbali hasa za mijini wanakuwa waislam lkn kwa sehem kubwa Wamasai/Sukuma hawana hizi dini za wageni
 
Back
Top Bottom