Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Mimi ni Masai na nimezaliwa ktk uislam,tena wengi huwa hawaamini kama miye ni Masai hudhani ni half cast... Heheheeee
Lakini mimi ni Masai na niko very proud.
Tuacheni Masai jamani,mmezidi kutuandama.
dem wa kitambo,halima,pale dom ni masai na muislam wa mizizi
 
_74566048_mao.jpg
Maustazi wa kichina uisilamu uliingia afrika ya mashariki kabla ya uchina na kabla ya nchi za afrika kaskazini oman na irak
 
Acha uongo mkuu
Mimi mwenyew mchaga na ni muislamu
Na nishaona wengi tu
Mkuu mimi nilikuwa namjibu kumhadaa yule jamaa, nawajua wachaga waislami wengi tu eg meja jen muhidin mfaume kimario, imran hussein kombe (RIP),kassim lymo , ukoo wa nkya wengi tu waislamu, etc,tena wachaga Ni watu wa dini hasa
 
Bofya yale maandishi yaliyo chini ya hiyo picha.

Punguani wahed.

Maandiahi na hiyo picha yana uhusiano gani?, we kweli punguani, yaani kila unapoona hayo mashuka basi ni Mmasai,
Acha ushamba
 
Back
Top Bottom