Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?

Karibuni wakuu
Abubakari Elekoroki... jamaaa yangu
 
waarabu wakristo wapi chuganian, lebanon wamejaa kibao, syria wapo, iraq wapo, kama utamkumbuka tareq aziz alikuwa ni waziri wa Saadam na alikuwa mkristo
Mke wa aliyekuwa rais wa Egypt anaitwa Hussein Mubarak anaitwa Suzan Mubarak wala hakuslim kwa ndoa ila watoto wake ni waislam.
 
Back
Top Bottom