Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahah nimecheka kwa sauti kubwa.We uliza umeshawahi kuona masai ana sauti ya base.?
Wewe jebaba yangu alifarkii akiwa muislamu ni mmasai
ahahahahaha chaaaaa[emoji119] [emoji119] [emoji119]duu, mbona wengi sana wapo hivyo, nenda zanzibar uone huko wanyamwezi na wasukuma, papuchi inafanya watu wawe na maamuzi magumu ambayo hutegemei, tena wale wanaobadilishwa na kuwa huko unakuta mistari yote ipo kichwani, achana na nguvu ya papuchi,
mkristu mkatoliki........... mtoto wangu ndo muislamuWewe je
Baba ni Masai na wazazi wake ni Masai wote ila bibi yangu kwa baba kachanganya na Ethiopians.
Ranoy Abdallah lukudana hili jin la mwisho sijui kama nimeliandika sahihi,ssa hivi anafanya kazi TCC daresaalamBinafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?
Karibuni wakuu
Hahahaaaa eti shekhe masikiowapo wengi tena kuna mmoja nilimkuta sehemu pana itwa namnga mpakani ana msikiti kabisa kajenga yeye na ana vaa mashuka na katoboa masikio anaitwa shekhe masikio
[emoji85] [emoji85] [emoji85] Asante brohOh! Kumbe uzuri umerithi kutoka kwa bibi eh! Hongera sana.
Si yale madawa yao mkuu, yameanza kufanya kazi vilivyoNaona nyuzi kuhusu Wamasai zinazidi sana humu Jukwaani. Sijajua shida ni nini, mara wenye base, mara Waislamu. Mara Masai Albino. Mbutaah!. Shee, Nini kinawasumbua Wakuu?
Twende kwenye mada, wapo wengi sana tu. Nenda hapo pwani Chalinze, utawakuta wa Kumwaga. Nenda Arusha, kuanzia Monduli shuka mpaka Kiteto, njoo mpaka Simanjiro. Wapo wengi tu.
Tapalare Ilayok mekindoki aisumbua. Tung'wai tine.kerengende mwenyewe
umeelewa nlichoandika hapo au umekurupuka