Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?

Karibuni wakuu
ni sawa na kukutana na polisi ambaye ni kilema
 
Mimi ni Masai na nimezaliwa ktk uislam,tena wengi huwa hawaamini kama miye ni Masai hudhani ni half cast... Heheheeee
Lakini mimi ni Masai na niko very proud.
Tuacheni Masai jamani,mmezidi kutuandama.
Tena waambie kabsa wasituzoeee kila kitu mmasai,,khaaa kwan hakuna makabila mengine,,sema we wa town sana shemelaaaa?
 
Wabongo bhana, mtu hata huko wanapoishi wamasai haupajui...! alafu unauliza swali la jumla "eti ushawahi kukutana masai muislam" kijana fungua ubongo wako na ujiulize tu "Ninaishi hapa kigogo mbuyuni, tembea yangu sana nimeenda bunju utamuuliziaje swali mtu anayeishi Manyara au Arusha......?"
Kijana Fanya utafiti misikiti mingapi ipo monduli?, simanjiro, olekesmet n.k
Tembea kuanzia Kisongo, duka bovu mpaka unafika babati njiani kuna misikiti mingapi na unaokutana nao ni raia wa aina gani?
Kwa ujumla sisi huku afrika dini zililetwa na waarabu na wazungu, mababu zetu walikuwa na dini zao.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] lol...ani mtu asilimu kisa papuchi ya cku moja??
duu, mbona wengi sana wapo hivyo, nenda zanzibar uone huko wanyamwezi na wasukuma, papuchi inafanya watu wawe na maamuzi magumu ambayo hutegemei, tena wale wanaobadilishwa na kuwa huko unakuta mistari yote ipo kichwani, achana na nguvu ya papuchi,
 
mbona hujauliza kama kuna mzanzibari au mwarabu mkristu?
Waarabu wakristo wapo wengi , eg dk boutrous ghali former UN general Sec, madhehebu ya Coptc egypt, tarek aziz , lebanon na syria , palestine , shakira ( mixed) mebrak, former argentine president nimelisahau jina
 
duu, mbona wengi sana wapo hivyo, nenda zanzibar uone huko wanyamwezi na wasukuma, papuchi inafanya watu wawe na maamuzi magumu ambayo hutegemei, tena wale wanaobadilishwa na kuwa huko unakuta mistari yote ipo kichwani, achana na nguvu ya papuchi,
Mkuu papuchi ndiyo nini?
 
Wamasai ni moja kati ya jamii chache za kiafrika zinazojitambua.....

Wanatambua kuwa kila jamii ina utaratibu wake wa kuishi na kuabudu...kwa hiyo hawaoni sababu ya wao kufuata utaratibu wa watu wa jamii ambao unawabadilisha kabisa utaratibu wao wa maisha........
Wanatambua kuwa hawajitaji kukariri na kusoma vitabu vya utaratibu wa jamii zingine kwa mgongo wa dini hali ya kuwa taratibu za jamii zao zimewatosheleza....
 
Tena waambie kabsa wasituzoeee kila kitu mmasai,,khaaa kwan hakuna makabila mengine,,sema we wa town sana shemelaaaa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tena wasituzoee kabisa kama hawana plan B.
Ndio mie wa town nimezaliwa Mount Meru Hosp ati...ila haiondoi asili yangu shemela.
 
Back
Top Bottom