Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tena wasituzoee kabisa kama hawana plan B.
Ndio mie wa town nimezaliwa Mount Meru Hosp ati...ila haiondoi asili yangu shemela.
Mia mia shem shemela
 
Mimi ni Masai na nimezaliwa ktk uislam,tena wengi huwa hawaamini kama miye ni Masai hudhani ni half cast... Heheheeee
Lakini mimi ni Masai na niko very proud.
Tuacheni Masai jamani,mmezidi kutuandama.
Hata waarusha mnajiita wamasai,
 
Wamasai Waislamu wapo ila wametokana na kusilimishwa kisha kuzaa vizazi ambavyo vinauendeleza Uislamu ktk jamii yao.
 
Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?

Karibuni wakuu
sisi ni waarusha. tunajua wapo wewe wa dar usilete za kuleta humu chaliiiii
 
Wamasai Waislamu wapo ila wametokana na kusilimishwa kisha kuzaa vizazi ambavyo vinauendeleza Uislamu ktk jamii yao.
Waarabu pekee ndio waliotokana na uislam kupitia Mtume wetu Muhammad (SAW),wengine wote tumezaliwa ktk jamii za waliosilimishwa.
Hata hivyo hoja hapa ni Wamasai Waislam regardless mambo ya kusilimishwa.
 
Waarusha ni Masai wa mjini,hivyo sote ni Masai.
Hata hivyo nikisema mimi ni Masai hakuna wa kunipinga humu,haya ni maisha yangu binafsi.
Waarusha na Masai ni kabila tofauti wa kwanza no Bantu wanaofuatia ni Nilots.

Umependa tu umasai kujiita lakini hakuna masai kama chotara hiyo ni iraqw labda
 
Waarusha na Masai ni kabila tofauti wa kwanza no Bantu wanaofuatia ni Nilots.

Umependa tu umasai kujiita lakini hakuna masai kama chotara hiyo ni iraqw labda
Baba ni Masai na wazazi wake ni Masai wote ila bibi yangu kwa baba kachanganya na Ethiopians.
 
Mimi ni Masai na nimezaliwa ktk uislam,tena wengi huwa hawaamini kama miye ni Masai hudhani ni half cast... Heheheeee
Lakini mimi ni Masai na niko very proud.
Tuacheni Masai jamani,mmezidi kutuandama.
Kumbe nishakukosa ole meseyaki haaaa
 
Waarabu pekee ndio waliotokana na uislam kupitia Mtume wetu Muhammad (SAW),wengine wote tumezaliwa ktk jamii za waliosilimishwa.
Hata hivyo hoja hapa ni Wamasai Waislam regardless mambo ya kusilimishwa.
Kama ni kuhusu regardless ni ngumu kumeza mkuu, labda tuunde kamati kama ya profesa Mruma watuletee mrejesho
 
Wamasai waisilamu wapo na wanaupokea uisilamu kwa wingi,japo hata dini nyingine wamasai ilikuwa vigumu kuwabadilisha dini zao za kiafrika ilibidi waletewe maradhi ya ng'ombe ili wamissionari waweze kuwabadili.
Story ya kutunga
 
Wabongo bhana, mtu hata huko wanapoishi wamasai haupajui...! alafu unauliza swali la jumla "eti ushawahi kukutana masai muislam" kijana fungua ubongo wako na ujiulize tu "Ninaishi hapa kigogo mbuyuni, tembea yangu sana nimeenda bunju utamuuliziaje swali mtu anayeishi Manyara au Arusha......?"
Kijana Fanya utafiti misikiti mingapi ipo monduli?, simanjiro, olekesmet n.k
Tembea kuanzia Kisongo, duka bovu mpaka unafika babati njiani kuna misikiti mingapi na unaokutana nao ni raia wa aina gani?
Kwa ujumla sisi huku afrika dini zililetwa na waarabu na wazungu, mababu zetu walikuwa na dini zao.
Wewe ni Masai muislamu? Tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom