displayname
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,972
- 1,085
Ahemed Kivuyo wa ITV michezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wazungu wapo Wahindi.
Wapo,mabadiliko yanayotokea kote duniani yanapelekea mabadiliko hayo masaini.Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?
Karibuni wakuu
MmmhMimi ni Masai na nimezaliwa ktk uislam,tena wengi huwa hawaamini kama miye ni Masai hudhani ni half cast... Heheheeee
Lakini mimi ni Masai na niko very proud.
Tuacheni Masai jamani,mmezidi kutuandama.
Mama yake ni mrangi,nguvu ya papuchiMbona wengi tu hasa Kiteto na Longido, mfano mzuri ni mtangazaji Amina Mollel, ni Mmaasai na ni mwislam mzuri, mume wangu pia ni Mmaasai na mwislam wa swala 5
DuhNishawah ila Sijawah kukutana na Mmasai kwenye nyumba ya kupanga nakat wapo weng tuu mjin, sasa najiuliza huwa walala wapi, au kila jion wanarud mbugan kwao
Kijiji jirani na nilikozaliwa,kuna mama mmoja ana vijana kati ya watatu /wanne na wote wana tatizo la ngozi yaani albinism,na ni waarusha(wamasai)Bora mwislam lakini albino sijui wao huwa hawazaliwi albino
Sio kweliAcha bwana wanzibar ni 50% wakristu..lol
Nanja na Mti mmoja ni kwa sababu ya hizo shule za Khatamul,Wapo wengi. Kuna sehemu wanaita Nanja Monduli.
Maimamu wao ni warangi na wanyaturuUkienda sehemu iitwayo Nanja, mbele kidogo ya Monduli jeshini kwenye barabara kuu Arusha to Babati, barabarani kabisa utaona msikiti na immam wa pale pia waumini ni wamasai pure.
Nawe hata ufanywe nn na mwarabu,upo tuMiafrika hata mfanywe nini na mzungu nyie mpo tu.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Ni kweli mfano mzuri India wapo masai wao[emoji116]Nasikia india,ulaya,uarabuni na wenyewe wana masai wao
Nawe hata ufanywe nn na mwarabu,upo tu
Wamasai Waislam wapo wengi tu na wanaongezeka kila kukicha.Hujajibu swali!
Au hukulielewa?
Maana kusoma na kushindwa kuelewa ulichokisoma nalo ni janga la kitaifa!!!!
KaribuPoa mkuub poa mkuu mi natamani kuja kufuturu best
Dada Faiza upo ndani JF sijakuona siku nyingi!!!!Wamasai Waislam wapo wengi tu na wanaongezeka kila kukicha.
Yapo makanisa sema yamejificha ila kuna kubwa lipo kabisa sema nimesahau sehemu tambua kuna waarabu wazawa wakristo wapo wengi tu na wengi wanasalia ndani mwao so inasemekana saudia kuna wakristo wengi wanaosali kwa kujifichaficha tofauti na wale wazawa ambao wapo huru ila wanaobadili uislam kwenda ukristo ndio wanaojifichasaudia hakuna kanisa mkuu,
labda usemee syria,iraq,
saud hairuhusiwi
Yani walibadili dini kutoka umasai hadi uisilamu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huku kwetu Arusha wapo wamasai waislamu,ila ni wale waliobadili dini!!na wanaswali vizuri tu