Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Wahamiaji kutoka bara, japo hata wazanzibar wachache wapo.
 
Saudia wanaosalia kwenye makanisa yaliyojificha ni waphilipino.
usiwe mbishi sasa wapo waarabu kabisa wakristo saudia au kama hujapekua google au ingia you tube tafuta ujionee au ukitaka wanaobatizwa utawaona wengi tu
 
Wahamiaji kutoka bara, japo hata wazanzibar wachache wapo.
sio wahamiaji ni wazawa kabisa unafikiri makanisa hayo yamejengwa na wabara?? hao ni wazawa walioachiwa na wamisionari na ni wakristo wazawa sio wahamiaji ukitaka kawaulize
 
Ngumu kumesa, Wakristo wanavyopenda elimu hivyo serikali nzima ingekuwa na waislam 100%?
 
usiwe mbishi sasa wapo waarabu kabisa wakristo saudia au kama hujapekua google au ingia you tube tafuta ujionee au ukitaka wanaobatizwa utawaona wengi tu
Mimi binafsi nimeishi saudia,hakuna wasaudi asilia ambao ni wakristo labda walioasiliwa,na labda mafuta yaje kuisha,lakini huwezi kutegemea gugo.
 
Tena wachina waislamu ni wengi kuliko waislamu wote wa Tanzania
duuu si kweli wapo wachache sana na wanakaa kakijiji kadogo sana tena ndio wachina maskini sana hao pekua ujionee mijini wengi ni mabudha na wakristo wapo wengi sana china
 
Mimi binafsi nimeishi saudia,hakuna wasaudi asilia ambao ni wakristo labda walioasiliwa,na labda mafuta yaje kuisha,lakini huwezi kutegemea gugo.
we jamaa unaonekana una asili ya ubishi sitaki kubishana nawewe ingia you tube kama huamini gog
 
Hili jukwaa bhana lete uthibitisho hapa jukwaani ili wakuu na wadau wauone,sio porojo! Eti niende gugo au you tube what a lazy thinker teh..teh.
 
Wahamiaji kutoka bara, japo hata wazanzibar wachache wapo.
yah lakini ni wanzanzibar.
hata familia ya karume,baba yao alikuwa ni muhamiaji mwenye asili ya malawi.
 
Basi na ushawahi sikia mmasai anaongea sauti nene? Aka bass
 
Wamasai waislaam wapo japo wachache. .....wengi ni MAKAFIRI.
ina maana hao waarbu wanaiga mbinu ya wakiristo ambao miaka yote hutumia mbinu zaidi kuwaritadisha watu kuliko kutumia biblia
wapo. pale Monduli mwaka juzi waarabu waliingia wakamwaga pesa (hongo/chambo/kivutio) nyingi saaana kusilimisha na waliwapata wengi kiasi
 
sio wahamiaji ni wazawa kabisa unafikiri makanisa hayo yamejengwa na wabara?? hao ni wazawa walioachiwa na wamisionari na ni wakristo wazawa sio wahamiaji ukitaka kawaulize
Mkanisa Zanzibar yalijengwa na Missionary, hakuna mzawa aliejenga Kanisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…