Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Kuna mmoja anaitwa Sheikh Ole Purukwa
 
Albino mmasai? Sio kwamba huwa hawazaliwi, ila hawapo. Labda kwa ndugu zetu wakenya, kama wana masai albino, wanacheka mauaji ya albino ya Shinyanga.
Wanazaaga Ila Ina sadikika wanawauwaga kwa kuamini ni mtoto mwenye laana katika ukoo....
 
Wapo wengi na ni waumini wazuri Sana. Wanapochanganya Uislamu na Umasai kwa pamoja msingi mkuu ukiwa HAKI.

Wanakuwa Imara Sana KIIMANI.
 
Hivi hawa jamaa masai tuseme hawana dini au nini,
Mimi mpaka sasa sijawahi ona masai shekhe.

Je wewe hujawai ona masai wa namna gani?


Cc Zero IQ
Mawazo mfanano, hata mimi nilikuwa nafikiria hili jambo
 
Arusha na Kilimanjaro kuna vijiji, mitaa na vitongoji huitwa umasaini, hujitenga peke yao bila kuchanganyika na jamii nyingine. Dini walioipokea ni ukristo mpaka kuna wachungaji na wainjilisti, wamasai waislam ni nadra sana kuwaona, labda mikoa ya pwani wapo masheikh
 
Hivi hawa jamaa masai tuseme hawana dini au nini,
Mimi mpaka sasa sijawahi ona masai shekhe.

Je wewe hujawai ona masai wa namna gani?


Cc Zero IQ
Tatizo lenu mnaangalia wavaa mashuka tu na akili zenu zimeshakariri kuwa Masai ni yule anayevaa shuka tu, kumbe kuna Masai kibao hizo habari za mashuka hawafagilii wanapokuwa mijini, kwaufupi Masai wapo kwenye kila fani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…