Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Duh mi sijawahi kuona wamasai kwny nyumba za kupanga Sijui hata hua wanaishi wapi.Unawaona tu asubuhi mpk jioni wanauza vitu vyao Ila huoni wanapoenda kulala mzee.
 
Hivi hawa jamaa masai tuseme hawana dini au nini,
Mimi mpaka sasa sijawahi ona masai shekhe.

Je wewe hujawai ona masai wa namna gani?


Cc Zero IQ
kule walutheran waliingia mapema sana, na kwa kenya kidogo kuna catholics. majority ya wamasaai Tanzania ni walutheran hata madhehebu mengine ya Kikristo hawapo, sembuse kuwa waislam?
 
Albino ni kizungu, kiswahiri ni zeruzeru.
wengi wa wanaowaita albino"zeruzeru" huwa wanakuja kuzaa albino ili waone utamu wake. acha ubaguzi, omba radhi na ujifunze kutoongea lugha za kibaguzi za aina hiyo. tema mate chini.
 
Nilitaka kushangaa ikosekane comment kama hii kwenye uzi kama huu,, anyway bora sie magaidi lkn mpaka utuingilie kwenye timing zetu ndo tunakunyoosha kuliko wewe imani yako inaruhusu kuolewa na kidume mwenzio akupumulie
mkuu ugaidi hauna justification, na Mungu wa kweli huwa hatetewi. vilevile, sio dini zote za magharibi wanakubali usodoma,. na pia hata zile dini zinazokataza usodoma kwenye vitabu vyao kimatendi watu wake sio kwamba hawafanyi, nenda arabuni, zanzibar, mombasa, tanga etc kagua marinda ya mabinti wanaoolewa au fanya tafiti ya mapunga utapata jibu hadi ukimbie. tuheshimiane tu hizi dini wala tusinyoosheane vidole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…