Ulishawahi kukutana na mmasai ambaye ni muislam?

Kama kweli wewe unataka heshima kama ulivyojinasibu ungeanza kwa na huyo aliyesema uislam dini ya magaidi,,,
 
Kama kweli wewe unataka heshima kama alivyojinasibu ungeanza kwa na huyo aliyesema uislam dini ya magaidi,,,
Uislam sio dini ya magaidi, ila kuna magaidi wengi waislam kuliko wa dini zingine though dini hii haishawishi watu wafanye ugaidi. kwahiyo kuna waislam baadhi wanaishafua dini hata inashindwa kueleweka vizuri kwa wasio waislam. ila nakubaliana na wewe kuwa uislam sio ugaidi. hapo vipi?
 
Mjibu Mwizukulu mgikuru aliyesema dini ya magaidi sio mimi,, mimi najua magaidi ni marekani na washirika wake ambao kwa nguvu yao tu ya kiuchumi na kijeshi hupelekea kuvamia mataifa mengi hasa yale yenye utajiri wa mafuta
 
Binafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?

Karibuni wakuu
Your browser is not able to display this video.
 
kule walutheran waliingia mapema sana, na kwa kenya kidogo kuna catholics. majority ya wamasaai Tanzania ni walutheran hata madhehebu mengine ya Kikristo hawapo, sembuse kuwa waislam?
sijawahi kuona mmasai mkatoliki, naona walutheri na wapentekoste tu
 
Wamasai ndio brand ya utalii tanzania hata wakiishi mbuga za wanyama na hifadhi hawatabughudhiwa
 
Ila yupo mmasai mmoja pale Bagamoyo eti yy ndio mwenyekiti wa chamancha soka.bagamoyo ..huyonmasai hata danadana kupiga hajui πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Mwenyekiti anahusika na vikao vya ndani, si soka la uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…