msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
ni sawa na kukutana na polisi ambaye ni kilemaBinafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?
Karibuni wakuu
Tena waambie kabsa wasituzoeee kila kitu mmasai,,khaaa kwan hakuna makabila mengine,,sema we wa town sana shemelaaaa?Mimi ni Masai na nimezaliwa ktk uislam,tena wengi huwa hawaamini kama miye ni Masai hudhani ni half cast... Heheheeee
Lakini mimi ni Masai na niko very proud.
Tuacheni Masai jamani,mmezidi kutuandama.
Hahahahaa mkuu umestablelize siku yangu!!Eti Ustaadh Ole Porukwa! Hahahahaaa!
Wapo wengi tu , mimi jamaa yangu mmoja ni mmasai anaitwa idrissa , uwa tunaenda masjid woteBinafsi sijawahi kuona mmasai muislam aidha kwa kufunga, kuingia msikitini au tu kuvaa msuli au baibui! Ina maana hawapendi uislam au kuna ambao wamefunga kabisa wanakula daku nk?
Karibuni wakuu
duu, mbona wengi sana wapo hivyo, nenda zanzibar uone huko wanyamwezi na wasukuma, papuchi inafanya watu wawe na maamuzi magumu ambayo hutegemei, tena wale wanaobadilishwa na kuwa huko unakuta mistari yote ipo kichwani, achana na nguvu ya papuchi,[emoji1] [emoji1] [emoji1] lol...ani mtu asilimu kisa papuchi ya cku moja??
Waarabu wakristo wapo wengi , eg dk boutrous ghali former UN general Sec, madhehebu ya Coptc egypt, tarek aziz , lebanon na syria , palestine , shakira ( mixed) mebrak, former argentine president nimelisahau jinambona hujauliza kama kuna mzanzibari au mwarabu mkristu?
Acha bwana wanzibar ni 50% wakristu..lolNi wakutafuta kwa tochi kama ilivyo Wanzibar kuwa wakristo.
Mkuu papuchi ndiyo nini?duu, mbona wengi sana wapo hivyo, nenda zanzibar uone huko wanyamwezi na wasukuma, papuchi inafanya watu wawe na maamuzi magumu ambayo hutegemei, tena wale wanaobadilishwa na kuwa huko unakuta mistari yote ipo kichwani, achana na nguvu ya papuchi,
Mkuu wasomali ndio almost wote waislamu , hila waarabu wapo wakristombona hujauliza kama kuna mzanzibari au mwarabu mkristu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tena wasituzoee kabisa kama hawana plan B.Tena waambie kabsa wasituzoeee kila kitu mmasai,,khaaa kwan hakuna makabila mengine,,sema we wa town sana shemelaaaa?
Mia mia shem shemela[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tena wasituzoee kabisa kama hawana plan B.
Ndio mie wa town nimezaliwa Mount Meru Hosp ati...ila haiondoi asili yangu shemela.