Ilikuwa ni kongamano la TYCS nilikuwa form 4. Tulienda parokiani tulikaa pale siku 3. Nililiwa kimasihara na brother hapa waromani mnaelewa brother ni mtu gani katika imani yetu. Naishia hapa.
Jamani.
Ulisha tubu??
 
Sasa walipanga 3 some au mume alipanga mke achakatwe na ww???
 
Imagine hao ndio wafanya maombi,hivi huyo sir God atasikiliza dua kweli,tukiwaambia mnamtesa marehemu mnabisha
 

Aise kupima ngoma ni kitu nilichoapa kutokukifanya maisha yangu yooote!
Nlikua naogopa kishenziii!
Kuna muda nilikua naona mwili kama siuelewii nahisi labda wayaa!
Kuna ma manzi niliwah pita nae....nkaja kuambiwa mgonjwa,alafu na anaviashilia vyooote yaan daah!


Sasa siku bwana pita pita kuna nesi nlikua namuelewa sana
Ila sikuwah hata kupiga nae story ...kifupi nilikua namgwaya sababu sio kwakua mrembo ila tu yupo seriously sana
Siku moja nikapata namba yake from somebody x
Nkamcheki kwa text.. tukachart kidogo ...kisha nkamtumia picha wsp ndio akawa kanikumbuka...
Nliendelea kumpa hi mala kadhaa

Sasa siku moja nlipotoka kazini
Nkamuomba twende maeneo tukatembee kidogo ,akasema sawa....
Yess tulienda,wakati tunaenda nkamwambia blah blah nyingi za kiutani utani..... zile like nataman unizalie mtoto ... yeye alikua anacheka tu
Wakati tunapiga story nkamwambia napendelea mchemsho wa samaki...
Akasema mbona nlipanga kupika jioni kwahyo ukiweza uje upate menu... nkasema sawa...tukarud tukaachana
Baadae saa3 akaniuliza utakuja?
Nkajibu yess nko way now![emoji2219][emoji2214]
Kufika kwake nkala msosi nkashukuru nkawa nmeinuka naondoka ....si akawa anakuja nyuma yangu afunge mlango wake....nkageuka nkawa nmemvuta hivi akajaa nkamkumbatia nkamwambia tena AHSANTE na kiss kidogo la woga woga shavuni
That time na yeye alikua kankumbatia kwa woga hivii
Duh....nkaanza kumpapasa na unene ule.....ah acha tu
Ku fupisha story tukajikuta ashankalia kwa juu na ashamwaga mda mreefu...!
Alipoinuka akaenda chumbani ,mim huku nyuma nshavaa ki pensi changu na naanza viatu
Nkasikia kelphin samahani nahitaji kujua afya yako!
Duh!!!! Nkatamani kukimbia ila wapiiii!
Anyway nkampa kidore ila moyo unasepa balaaa
Akanichoma akaweka ve vi maji vyake mimi huyoooooooooo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikilizia msg tu njiani...hapo mshare unasoma saa8 nyt ..afu ukiwa unatoka kwake kwa nje pana makabuliii aaah[emoji23][emoji23][emoji23]
But thanks god akanmby (ahsante sijamdanganya nlivyomwambia niko sarama)
Kumbe sijawah kupima wala nini
Na tangu hapo namuomba sana mungu aniepushe sana
 
Mkuu hapo kwenye aye ya mwisho kuna maeneo mengi ya msingi hayakufafanuliwa vyema. Ninashauri uje na part two yake.
 
Mkuu hapo kwenye aye ya mwisho kuna maeneo mengi ya msingi hayakufafanuliwa vyema. Ninashauri uje na part two yake.
Mkuu sidhani kama kuna mahali sijafafanua vyema ila baada ya mwasiliano ya muda na dada alifunguka ni sex addicted person na kumbe wanakikundi chao cha kuchakataana in groups na kiingilio ni uwe na demu sasa mimi ningetoa wapi mtu wa tabia hizo
kwahiyo nikaachana nao 😅😅😅
 
Mkuu Mimi ninakushukuru sana kwa bandiko lako. Ingawa limeniacha na shauku kubwa sana. Dah! Huyo mdada mapunda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…