Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ilikuwa ni kongamano la TYCS nilikuwa form 4. Tulienda parokiani tulikaa pale siku 3. Nililiwa kimasihara na brother hapa waromani mnaelewa brother ni mtu gani katika imani yetu. Naishia hapa.
Jamani.
Ulisha tubu??
 
Nina visa vingi sana vya kimasihara lakini hiki ni kisa kilivunja record zangu za kibaharia [emoji1787][emoji1787]

Kutokana na safari za kwenda nchi jirani mara kadhaa nilifanikiwa kujenga urafiki na wana flani ambao tulikuwa nao kwenye kutafuta mkate wa kila siku, ila baadae baadhi yao watatu walipata mchongo mbele wakabwaga fasta DXB. Baada ya miezi michache bata lao lilikuwa heavy sana maana walipata kazi za kuwalipa vizuri tu
Siku ya siku wakanivuta kuwatembelea nikasema ewala sikuchelewa pale kuatembelea toua ya miezi 3
Kufika salama nikawa na mizunguko ya hapa na pale jioni masanga

Weekend moja tukala tour moja ndefu kidogo DXB-RAK kuangaza macho na kufurahia maajabu ya mji na wana sasa kumbe wenyewe ni watu wa nyama za mafungu Tinder imelipiwa lakini kule tulipoenda mitikasi ile kuipata mbinde sana wakati huo
Tukafanya check in resort moja kubwa tu kwahiyo baada ya kuzunguka sana na kutafuta mbususu tukajikatia tamaa tukaamua tulewe tu

Wakunywa alikunywa na wa shisha alivuta vyema. lakini mimi nilikuwa naangalia kama naweza baatisha mgegedo wa online zipo lakini mbali sanaaaa. Baadae watu walilala usingzi wa kilevi levi tu ila mim niliamka mapema kupimia pimia kwenye swimming pools na beach kubahatisha ni hotel kubwa ile nilizunguka sana bila mafanikio[emoji1787][emoji1787]

Baada ya muda flani mida kama saa nne asubuhi nikaenda beach nikaoga mkosi nikarudi chobingo nimetulia nje kidogo ya room yangu nafinya smirnoff yangu na sprite kwa mbali kidogo naona couple flani ya muhindi mmoja na jamaa yake kama wananijadili kitu,baadae nikaona wanasogea kuja kwangu kutokana na kijua basi mvinyo ulishafika kichwani kiasi

Yule dada wa ki-bombay alikuja akaniomba nimpige picha kichwani najiuliza huyu alikuwa na jamaa hapa saa hii anataka mimi nimpige picha?
Ikawa siyo kesi nikamfotoa za kutosha lakini kadiri navyopiga picha anasogea sehemu isiyo na uwazi na mpiga picha naenda mule mule akanichana live bwana kama hutojali uje room yangu kuna besdei party nikamwitikia tu lakini skiwa interested maana alikuwa na jamaa yake
Baadae nikawa naenda ku upgrade room nikasikia mtu ananiita heeey excuse mee!! Where are u going? Please come!!
Nikaenda nikakaribishwa ndichi lao fresh story za hapa na pale akaniuliza swali ushenzi "I want to try something new,can we do it''? Huku akisisitiza kwamba nisiwe na wasi kila kitu kilishapangwa baina yalke na jamaa lake

Nikasema moyoni hapa nimekaa siku 3 sijafuma chance yoyote na huyu mbuzi wa shughuli kaja mwenyewe me ninakosa gani?[emoji23][emoji23][emoji23]Au nikimpa anachotaka nitapungukiwa nini?
Kichwa kidogo kilikuwa hakitulii mashetani yameshaanza kucheza nacho cricketr. Hasa nilipokuwa naangalia ziwa ambalo sijawahi kuona ukubwa ule hapa chini kwetu. Kila kitu walipanga na mwenzie wanavyojua wao me nikaanza makinikia yangu. Three good hours nipo ugenini kwenye uchakataji wa usio na jasho kabisaa. Wana walipiga simu sana lakini baadae walitulia maana walijua nimebahatisha

Yule bidada aliburudika na akataka uwe mpango endelevu nikakataa maana siyo mitikasi yangu, na kimasihara yangu ni hiyo wakuu
Sasa walipanga 3 some au mume alipanga mke achakatwe na ww???
 
Jana jioni mida ya saa1 kasoro nilikua na washkaji zangu wawili, tunatoka kuangalia mpira wa ndondo mitaa fulani hivi. Sasa kipindi tunatoka tukapita shule ya msingi hivi, kuna dada mmoja hivi alikua mbele yetu akawa amesimama anamuita mwenzake yupo nyuma yetu, we Amina si uwahi twende.

Amina akasema nawahi nini mtu mwenyewe sina Mme, washkaji zangu wakaanza kuniambia mweri zari hilo we ndio hujaoa.

Na mimi nikaanza kupanda nae hewani mtoto anaanza kusema ooh mimi mwanaume wa barabarani hapana, nikamuweka sawa tukakaa hapo shuleni yule mwenzake akatangulia kwao. Ndio mtoto akaniambia eti wanatoka kwenye kongamano la kumuombea magufuli.

Kagiza giza kalipoingia mlinzi wa shule akaja kututimua, nikamtuliza kwa 2000 mzee kafurahi akaniambia nendeni kwenye lile darasa ndio hua halifungwi.

Basi nikajipigia zangu bao 2 fresh, halafu nikampa namba za simu za uongo kwa sababu nina demu wangu classic kumzidi yeye.
Imagine hao ndio wafanya maombi,hivi huyo sir God atasikiliza dua kweli,tukiwaambia mnamtesa marehemu mnabisha
 
Pole sana na nakuombea uwe salama...ila kama kweli umedhamiria kupima basi jiandae pia kisaikolojia kuyapokea matokeo vyovyote itakavyokuwa....Yakija Negative shukuru then endelea kupambana..Yakija Positive plz jitahidi kuyapokea kama yalivyo ili usipoteze focus kwenye mambo yako..Najua ni vigumu kuyapokea ila jitahidi hivyo hivyo...

Kama hauko tayari kuyapokea majibu plz usiende kupima...ni bora tu kujiaminisha kuwa uko salama, akili itatulia na mwili utarejea then maisha yataendelea....mimi nina uncle wangu, sio shabiki wa kinga na hachagui dem,,,yoyote yule anakula..namaanisha yoyote yule..hana stress wala nn na yuko njema kiafya..so ondoa hofu mkuu nenda kapime..ila kama hauko tayari kuyapokea matokeo ondoa hofu then endelea na mishe zako.

Aise kupima ngoma ni kitu nilichoapa kutokukifanya maisha yangu yooote!
Nlikua naogopa kishenziii!
Kuna muda nilikua naona mwili kama siuelewii nahisi labda wayaa!
Kuna ma manzi niliwah pita nae....nkaja kuambiwa mgonjwa,alafu na anaviashilia vyooote yaan daah!

Sasa siku bwana pita pita kuna nesi nlikua namuelewa sana
Ila sikuwah hata kupiga nae story ...kifupi nilikua namgwaya sababu sio kwakua mrembo ila tu yupo seriously sana
Siku moja nikapata namba yake from somebody x
Nkamcheki kwa text.. tukachart kidogo ...kisha nkamtumia picha wsp ndio akawa kanikumbuka...
Nliendelea kumpa hi mala kadhaa

Sasa siku moja nlipotoka kazini
Nkamuomba twende maeneo tukatembee kidogo ,akasema sawa....
Yess tulienda,wakati tunaenda nkamwambia blah blah nyingi za kiutani utani..... zile like nataman unizalie mtoto ... yeye alikua anacheka tu
Wakati tunapiga story nkamwambia napendelea mchemsho wa samaki...
Akasema mbona nlipanga kupika jioni kwahyo ukiweza uje upate menu... nkasema sawa...tukarud tukaachana
Baadae saa3 akaniuliza utakuja?
Nkajibu yess nko way now![emoji2219][emoji2214]
Kufika kwake nkala msosi nkashukuru nkawa nmeinuka naondoka ....si akawa anakuja nyuma yangu afunge mlango wake....nkageuka nkawa nmemvuta hivi akajaa nkamkumbatia nkamwambia tena AHSANTE na kiss kidogo la woga woga shavuni
That time na yeye alikua kankumbatia kwa woga hivii
Duh....nkaanza kumpapasa na unene ule.....ah acha tu
Ku fupisha story tukajikuta ashankalia kwa juu na ashamwaga mda mreefu...!
Alipoinuka akaenda chumbani ,mim huku nyuma nshavaa ki pensi changu na naanza viatu
Nkasikia kelphin samahani nahitaji kujua afya yako!
Duh!!!! Nkatamani kukimbia ila wapiiii!
Anyway nkampa kidore ila moyo unasepa balaaa
Akanichoma akaweka ve vi maji vyake mimi huyoooooooooo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikilizia msg tu njiani...hapo mshare unasoma saa8 nyt ..afu ukiwa unatoka kwake kwa nje pana makabuliii aaah[emoji23][emoji23][emoji23]
But thanks god akanmby (ahsante sijamdanganya nlivyomwambia niko sarama)
Kumbe sijawah kupima wala nini
Na tangu hapo namuomba sana mungu aniepushe sana
 
Nina visa vingi sana vya kimasihara lakini hiki ni kisa kilivunja record zangu za kibaharia 🤣🤣

Kutokana na safari za kwenda nchi jirani mara kadhaa nilifanikiwa kujenga urafiki na wana flani ambao tulikuwa nao kwenye kutafuta mkate wa kila siku, ila baadae baadhi yao watatu walipata mchongo mbele wakabwaga fasta DXB. Baada ya miezi michache bata lao lilikuwa heavy sana maana walipata kazi za kuwalipa vizuri tu
Siku ya siku wakanivuta kuwatembelea nikasema ewala sikuchelewa pale kuatembelea toua ya miezi 3
Kufika salama nikawa na mizunguko ya hapa na pale jioni masanga

Weekend moja tukala tour moja ndefu kidogo DXB-RAK kuangaza macho na kufurahia maajabu ya mji na wana sasa kumbe wenyewe ni watu wa nyama za mafungu Tinder imelipiwa lakini kule tulipoenda mitikasi ile kuipata mbinde sana wakati huo
Tukafanya check in resort moja kubwa tu kwahiyo baada ya kuzunguka sana na kutafuta mbususu tukajikatia tamaa tukaamua tulewe tu

Wakunywa alikunywa na wa shisha alivuta vyema. lakini mimi nilikuwa naangalia kama naweza baatisha mgegedo wa online zipo lakini mbali sanaaaa. Baadae watu walilala usingzi wa kilevi levi tu ila mim niliamka mapema kupimia pimia kwenye swimming pools na beach kubahatisha ni hotel kubwa ile nilizunguka sana bila mafanikio🤣🤣

Baada ya muda flani mida kama saa nne asubuhi nikaenda beach nikaoga mkosi nikarudi chobingo nimetulia nje kidogo ya room yangu nafinya smirnoff yangu na sprite kwa mbali kidogo naona couple flani ya muhindi mmoja na jamaa yake kama wananijadili kitu,baadae nikaona wanasogea kuja kwangu kutokana na kijua basi mvinyo ulishafika kichwani kiasi

Yule dada wa ki-bombay alikuja akaniomba nimpige picha kichwani najiuliza huyu alikuwa na jamaa hapa saa hii anataka mimi nimpige picha?
Ikawa siyo kesi nikamfotoa za kutosha lakini kadiri navyopiga picha anasogea sehemu isiyo na uwazi na mpiga picha naenda mule mule akanichana live bwana kama hutojali uje room yangu kuna besdei party nikamwitikia tu lakini skiwa interested maana alikuwa na jamaa yake
Baadae nikawa naenda ku upgrade room nikasikia mtu ananiita heeey excuse mee!! Where are u going? Please come!!
Nikaenda nikakaribishwa ndichi lao fresh story za hapa na pale akaniuliza swali ushenzi "I want to try something new,can we do it''? Huku akisisitiza kwamba nisiwe na wasi kila kitu kilishapangwa baina yalke na jamaa lake

Nikasema moyoni hapa nimekaa siku 3 sijafuma chance yoyote na huyu mbuzi wa shughuli kaja mwenyewe me ninakosa gani?😂😂😂Au nikimpa anachotaka nitapungukiwa nini?
Kichwa kidogo kilikuwa hakitulii mashetani yameshaanza kucheza nacho cricketr. Hasa nilipokuwa naangalia ziwa ambalo sijawahi kuona ukubwa ule hapa chini kwetu. Kila kitu walipanga na mwenzie wanavyojua wao me nikaanza makinikia yangu. Three good hours nipo ugenini kwenye uchakataji wa usio na jasho kabisaa. Wana walipiga simu sana lakini baadae walitulia maana walijua nimebahatisha

Yule bidada aliburudika na akataka uwe mpango endelevu nikakataa maana siyo mitikasi yangu, na kimasihara yangu ni hiyo wakuu
Mkuu hapo kwenye aye ya mwisho kuna maeneo mengi ya msingi hayakufafanuliwa vyema. Ninashauri uje na part two yake.
 
Mkuu hapo kwenye aye ya mwisho kuna maeneo mengi ya msingi hayakufafanuliwa vyema. Ninashauri uje na part two yake.
Mkuu sidhani kama kuna mahali sijafafanua vyema ila baada ya mwasiliano ya muda na dada alifunguka ni sex addicted person na kumbe wanakikundi chao cha kuchakataana in groups na kiingilio ni uwe na demu sasa mimi ningetoa wapi mtu wa tabia hizo
kwahiyo nikaachana nao 😅😅😅
 
Mkuu Mimi ninakushukuru sana kwa bandiko lako. Ingawa limeniacha na shauku kubwa sana. Dah! Huyo mdada mapunda.
 
Back
Top Bottom