Pole sana na nakuombea uwe salama...ila kama kweli umedhamiria kupima basi jiandae pia kisaikolojia kuyapokea matokeo vyovyote itakavyokuwa....Yakija Negative shukuru then endelea kupambana..Yakija Positive plz jitahidi kuyapokea kama yalivyo ili usipoteze focus kwenye mambo yako..Najua ni vigumu kuyapokea ila jitahidi hivyo hivyo...
Kama hauko tayari kuyapokea majibu plz usiende kupima...ni bora tu kujiaminisha kuwa uko salama, akili itatulia na mwili utarejea then maisha yataendelea....mimi nina uncle wangu, sio shabiki wa kinga na hachagui dem,,,yoyote yule anakula..namaanisha yoyote yule..hana stress wala nn na yuko njema kiafya..so ondoa hofu mkuu nenda kapime..ila kama hauko tayari kuyapokea matokeo ondoa hofu then endelea na mishe zako.
Aise kupima ngoma ni kitu nilichoapa kutokukifanya maisha yangu yooote!
Nlikua naogopa kishenziii!
Kuna muda nilikua naona mwili kama siuelewii nahisi labda wayaa!
Kuna ma manzi niliwah pita nae....nkaja kuambiwa mgonjwa,alafu na anaviashilia vyooote yaan daah!
Sasa siku bwana pita pita kuna nesi nlikua namuelewa sana
Ila sikuwah hata kupiga nae story ...kifupi nilikua namgwaya sababu sio kwakua mrembo ila tu yupo seriously sana
Siku moja nikapata namba yake from somebody x
Nkamcheki kwa text.. tukachart kidogo ...kisha nkamtumia picha wsp ndio akawa kanikumbuka...
Nliendelea kumpa hi mala kadhaa
Sasa siku moja nlipotoka kazini
Nkamuomba twende maeneo tukatembee kidogo ,akasema sawa....
Yess tulienda,wakati tunaenda nkamwambia blah blah nyingi za kiutani utani..... zile like nataman unizalie mtoto ... yeye alikua anacheka tu
Wakati tunapiga story nkamwambia napendelea mchemsho wa samaki...
Akasema mbona nlipanga kupika jioni kwahyo ukiweza uje upate menu... nkasema sawa...tukarud tukaachana
Baadae saa3 akaniuliza utakuja?
Nkajibu yess nko way now![emoji2219][emoji2214]
Kufika kwake nkala msosi nkashukuru nkawa nmeinuka naondoka ....si akawa anakuja nyuma yangu afunge mlango wake....nkageuka nkawa nmemvuta hivi akajaa nkamkumbatia nkamwambia tena AHSANTE na kiss kidogo la woga woga shavuni
That time na yeye alikua kankumbatia kwa woga hivii
Duh....nkaanza kumpapasa na unene ule.....ah acha tu
Ku fupisha story tukajikuta ashankalia kwa juu na ashamwaga mda mreefu...!
Alipoinuka akaenda chumbani ,mim huku nyuma nshavaa ki pensi changu na naanza viatu
Nkasikia kelphin samahani nahitaji kujua afya yako!
Duh!!!! Nkatamani kukimbia ila wapiiii!
Anyway nkampa kidore ila moyo unasepa balaaa
Akanichoma akaweka ve vi maji vyake mimi huyoooooooooo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikilizia msg tu njiani...hapo mshare unasoma saa8 nyt ..afu ukiwa unatoka kwake kwa nje pana makabuliii aaah[emoji23][emoji23][emoji23]
But thanks god akanmby (ahsante sijamdanganya nlivyomwambia niko sarama)
Kumbe sijawah kupima wala nini
Na tangu hapo namuomba sana mungu aniepushe sana