[emoji23][emoji23][emoji23] wee ndo unawadanganya waenzio ili uwa win wakuone kidume cha haja, kumbe hakuna maajabu yeyote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mtaendelea kubishana sijui kusemana au mtaleta visa vyenu vya kimasihara?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu relaaaax kwani Dr, usichukulie seriouz sana, naona unatoka kwenye tunachojadili unakuja kunizungumzia mie,

Endelea kuenjoy, maisha mafupi haya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
I salute your opinion ila still unanipiga chenga ya mwili ujue.. Mimi mwenyewe sipendi mwanamke cheap of course ila siungi mkono u-hardcore kwenyenye kupanda mti kwenye hako kashimo[emoji4]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Basi lazima wa tofauti tuwepo. Ni akili za kitoto kukariri tu wote tunafanana.
 
My dear did you get me? Virtually YES ila it doesn't make someone an angel kuwa hardcore... Ila tuelewana vizuri futa neno masikhara kwenye mind yako.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Aah mkuu, hiyo kauli nilikua namjibu huyo wa kujichetua huko juu. Wewe hapana kabisa mkuu. Na unastahili kutunukiwa. [emoji23][emoji23]
Asutufananishe na anaikutana nao.
 
kwanini wanawake kuolewa mnaona kam bahati,,???
nadhan hii kitu ya kuona ni bahati ndo inafanya mpate tabu pindi msipopata mtu wa kuwaoa kwa wakati mnaouona ndo bahati.
Yes, sometimes ndoa ni bahati. Ukaloge uolewe hiyo ndoa nayo ni baraka? Ulacunje ndoa za watu uolewe tuseme ni baraka? Hapana. Nitasema ndoa ni baraka kwa wale waliozipata kihalali tu.
 
Kwanza kutumia capital letters ni shouting. Halaf hao u aowakota ni level zako na mnafanana. Mtu maharage kopo moja umempata naye ni wa kujisifia? Kwa hayo machat hapo kuna mwanamke sasa hapo? Nitumie mitext ya hivyo nikufurahishe.
 
Suala hapa tunajadili mtazamo wako kuwa wanawake wote ni rahisi, ndo ambacho tunakataa, hili suala la kuombwa wee nauli wala sikuwa namaanisha km wee ambavyo umelichukulia, ilikua masikhara tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23]

Hilo mtajua wenyewe wahusika, umtumie au usimtumie juu yenu wala hainihusu, japo ni halali yake kuomba kwako sio nauli tyuuh na hata vingine pia ambavyo anahitaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Experience gani ya mapenzi ambayo wee unahisi ni ya ajabu au ambayo haijulikani? Au wee unazungumzia ipi? Ambayo unaona mie siijui? Dr bhana lol.

[emoji23][emoji23][emoji23] tuishi humo tyuuh.



Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kutumia capital letters ni shouting. Halaf hao u aowakota ni level zako na mnafanana. Mtu maharage kopo moja umempata naye ni wa kujisifia? Kwa hayo machat hapo kuna mwanamke sasa hapo? Nitumie mitext ya hivyo nikufurahishe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
mbona kama umeumia mno madame!!! basi fanya mkutane utuletee mrejesho
 
Only little boys utter such words. Eti nimepitia threads zako unalikaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya ndo makasiriko yenyewe... umeokotaaa zako wa ovyo hukoo basi ndo umejioa ufalme. Usije ukaliwa wewe tu siku mkuu
 
mwanamke na mwanaume yoyote ni malaya sema tu kutopata malaya mnaelewana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…