Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hapa ndipo ulipo udhaifu wako.


HAMNA MWANAMKE MWENYE MISIMAMO KAMA HAMCHI MUNGU NAHANA HOFU YA MUNGU.


HAYUPOOOOOO, HAYUPOOOOOO HAYUPOOOOOOOOOOOOOOOOOO


Yaaan nisawa na wee uwe mwanamke unayetumia pombe alafu uwe.mgumu[emoji23][emoji23][emoji23]


Danganyeni maboyaaa wasowajuaa
[emoji23][emoji23][emoji23] wee ndo unawadanganya waenzio ili uwa win wakuone kidume cha haja, kumbe hakuna maajabu yeyote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mtaendelea kubishana sijui kusemana au mtaleta visa vyenu vya kimasihara?
 
Ndio maana nikachagua kukupuuza mkuu... Huwajui wanawake , na sijui km umewah kua na mwanamke au wee ni mwanamje sijui.


Hahaha anayewajua wanawake atanielewa


Hujawah kuambiwa Tuma na yakutolea????

Pesa ya mwanamke niyake yeye.

Ndio maana anakuletea mzigo kwa hela yako, unapiga.nabado unamoa hela


Ni Nature ndivo ilivyo

Ukianza kudate nao, utakuja kuniambia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu relaaaax kwani Dr, usichukulie seriouz sana, naona unatoka kwenye tunachojadili unakuja kunizungumzia mie,

Endelea kuenjoy, maisha mafupi haya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
I salute your opinion ila still unanipiga chenga ya mwili ujue.. Mimi mwenyewe sipendi mwanamke cheap of course ila siungi mkono u-hardcore kwenyenye kupanda mti kwenye hako kashimo[emoji4]

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Basi lazima wa tofauti tuwepo. Ni akili za kitoto kukariri tu wote tunafanana.
 
My dear did you get me? Virtually YES ila it doesn't make someone an angel kuwa hardcore... Ila tuelewana vizuri futa neno masikhara kwenye mind yako.

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Aah mkuu, hiyo kauli nilikua namjibu huyo wa kujichetua huko juu. Wewe hapana kabisa mkuu. Na unastahili kutunukiwa. [emoji23][emoji23]
Asutufananishe na anaikutana nao.
 
kwanini wanawake kuolewa mnaona kam bahati,,???
nadhan hii kitu ya kuona ni bahati ndo inafanya mpate tabu pindi msipopata mtu wa kuwaoa kwa wakati mnaouona ndo bahati.
Yes, sometimes ndoa ni bahati. Ukaloge uolewe hiyo ndoa nayo ni baraka? Ulacunje ndoa za watu uolewe tuseme ni baraka? Hapana. Nitasema ndoa ni baraka kwa wale waliozipata kihalali tu.
 
Miss pablo, Sikia yaan Condition ni moja tu
UMCHE MUNGU NA UWE NA HOFU NAYE.

hizo zaaa watofauti tupo. Sijui tupo eehh tupo

Ni maneno na kelele tu na labda kama Hujawa kutana na Usumbufu kutoka kwa anayejua kusumbua.


Mimi Carlos, nikikutana naweee, nikakuona juu mpaka chini, nikaongea nawewe nikajua vitu unavyopenda ni vipi


Inatosha kujua kua Unalika au Lah


Kikubwa uwe unaomba sana kabla ya kutoka nyumban, kazin, n.k

Uwe unasali mbingu zikuepushe na Masihara ya Vijana.[emoji23][emoji23]



Kinyune nahapo, kimbunga cha mabadiliko ya Dunia, kinakupitia tuuu..wewe nani bwanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza kutumia capital letters ni shouting. Halaf hao u aowakota ni level zako na mnafanana. Mtu maharage kopo moja umempata naye ni wa kujisifia? Kwa hayo machat hapo kuna mwanamke sasa hapo? Nitumie mitext ya hivyo nikufurahishe.
 
Uwii hahahahhaa uwiii yaan nikujadili wewe


Nnakuonyesha ... Kama kweli wee ni Kidume, suala la mwanamke kukuomba hela sijuo nauli sijui nn sio geni hata kama anao uwezo.

Nakama wee ni mwanamke suala hilo pia sio geni hata km unajiweza.



Ila kama hayo mawili yote haupo..

Endelea kunywa Chai mkuu. Siku ukianza , utarudi tuongee sasa ukiwa tayari ume experienc hilo.
Suala hapa tunajadili mtazamo wako kuwa wanawake wote ni rahisi, ndo ambacho tunakataa, hili suala la kuombwa wee nauli wala sikuwa namaanisha km wee ambavyo umelichukulia, ilikua masikhara tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23]

Hilo mtajua wenyewe wahusika, umtumie au usimtumie juu yenu wala hainihusu, japo ni halali yake kuomba kwako sio nauli tyuuh na hata vingine pia ambavyo anahitaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Experience gani ya mapenzi ambayo wee unahisi ni ya ajabu au ambayo haijulikani? Au wee unazungumzia ipi? Ambayo unaona mie siijui? Dr bhana lol.

[emoji23][emoji23][emoji23] tuishi humo tyuuh.



Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kwanza kutumia capital letters ni shouting. Halaf hao u aowakota ni level zako na mnafanana. Mtu maharage kopo moja umempata naye ni wa kujisifia? Kwa hayo machat hapo kuna mwanamke sasa hapo? Nitumie mitext ya hivyo nikufurahishe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Namshangaa sana jinsi anavojitapa na kujifaragua humu ndani, kuwa yee ni pussy [emoji356], nikiangalia sasa muenendo wake hakna maajabu yeyote,

Hao wake za watu anaowapata kumbe ni sampuli za Malaya wa kimboka, khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Afu yeye anajaza wenzie humu ndani mtazamo huo wa kipuuzi, kuwa wanawake wote wako hivyo. Aseeeeh noumer kweli.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
mbona kama umeumia mno madame!!! basi fanya mkutane utuletee mrejesho
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wanawakeee

Mtu asiyewajua, anaweza sema daaahh huyu nibalaaa haingiliki


Kumbee ni woga wake.


nmepitia baadhi ya nyuzi zako na maelezo ya ndani yake.


jambo naloweza kukuhakikishia, Sijaona cha kunizuia kwako, sijaonaaa

And know what , uko weak saaaana

Na kwa kusema ivo, nakuthibitishia hili , Unalika kimasihara .
Only little boys utter such words. Eti nimepitia threads zako unalikaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya ndo makasiriko yenyewe... umeokotaaa zako wa ovyo hukoo basi ndo umejioa ufalme. Usije ukaliwa wewe tu siku mkuu
 
Yes. Kwanza mke wa mtu anayejielewa na kujiheshim anagawaje? Ni malaya kwangu nawachukulia. Mke wa mtu umeingia kwenye maagano ya ndoa kwann ukagawe ovyo? Hapo ni unamtusi mumeo hajiwezi. Mungu aniepushie na hii kadhia. Ndo mwanzo wa kusambaziana mikosi na nuksi kuokota okota ovyo. Wengine wameolewa tuu bahati iliwaangukia ila tabja mbovu. Wengine wameolewa tu ili wasionekane wametia aibh kwao kutokuolewa. Wengine ndo kufata mali, wengine ugumu wa maisha. Kwahiyo wengine ni matambara tu asitubabaishe.
mwanamke na mwanaume yoyote ni malaya sema tu kutopata malaya mnaelewana
 
Back
Top Bottom