[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Bye
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwahiyo kwakua ulimla huyo bidada kana kwamba hadi alikutusi na kumpa mume wake number mwanzoni, na ukatishwa vikali, basi ukaona oooh yes nimeshamaliza na wanawake wote wako hivi, si ndivyo eeeeh?

Wee Dr unajidanganya wapo wanawake wanaoweza kujisimamia wenyewe pasipo kutegemea mtu wa pembeni, mbna kitu real hiki, wee una kataa nn sasa? Unasema WACHA MUNGU tu ndo ambao huwawezi.

Nakuambiaje wapo watu ambao hawana misingi ya imani kihivyo, ila huwezi kumgusa kamwee, ni suala la mtu binafsi juu ya maamuzi yake ktk uwanja wa mahusiano.

Acha kuwa mbishi wee, khaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
No, tunaelekezana mbinu ili wengine musirubunike na mbinu wenzenu watawaponza. Siyo mbinu zote zinaapply kwa wote
Kuna mwingne alirudi humu kulalamika kuwa kaponzwa na huyu huyu Dr [emoji23][emoji23][emoji23], amehama mtaa bila kupenda huku kodi haijaisha,

Mwingne alikalishwa kikao kwa balozi, kisa kumtumia text ya matusi mke wa balozi huyo huyo [emoji23][emoji23][emoji23],

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nmekuambia huyo mwanamke ni
LAZIMA, YAAN NI LAZIMA AWE MCHA MUNGU KWELIKWELI NAMWENYE HOFU YA MUNGU KWELIKWELI.


sijakataa hayupo.wapo ILA NI LAZIMA WAOBEY HILO NLOANDIKA.


NAKAM KAOLEWA, MUMEWE NAYE ASIWE.MCHEPUKAJI NA BADO YEYE MWENYEWE NI MWENYE HOFU YA MUNGU.



Mengineeee yalobaki ni makelele tuuuuuuu ni makeleleeeeeeeeee .

Labda kama una mwonekano ,usomvutia Mlaji wa masihara.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee khaaah, mbishi sana khaaah, tutakesha hapa,

Basi umeshinda wee, japo unachokipigania sicho cha kweli hata kidogo.

Imetoshaaaah.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
jibu la mwisho liko hivi...

hakuna mwanamke asie ingilika au asie lika kimasihara.. ila ili aingilike au aliwe must awe na mvuto na au ashiki na mwanaume anaetaka kulana nae. hivyo cocastic na miss pablo .. hata nyie mnalika na kuingilikaila kwa wale mlo na hamu nao na hisia nao na wala hamuwabishii kitu chochote. . ila kwa msiokuwa na hisia au ashiki nao ndio mnakuwa kama mlivyoandika na kuyaongea hapa.. mjadala ufungwe hivi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtakuja muniue mimi. Weeeee... sijaupitia muda huu uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf akapigishwa fine ya nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asaaalaaaleee. Anawaponza wenzake tu. Waache wengine wakikute wanapelekana na mahakamani. Txt zenye maneno makali anawaandikia hao wa kumfanania namwambia anakataa. Pole kwa yaliyomkutaa[emoji23][emoji23]

Kuna yule aloitwa agent wa kuzimu naye. Daah
 
Mkiambiwa ukweli mnasema ubishi.

Ivi nje ya kumcha Mungu na Kua na hofu naye


Kuna la kukulinda?? Et kwa akili zako, unaamua tu kua sasa, Sitamkubali mtu yoyote


MNAJIDANGANYAAAA[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee G kwa visa vyako hivi, kungekuwa na tuzo za uzinzi ningeshauri upewe bila kupingwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho wa siku italiwa na mchea, maisha haya!

Joke[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…