[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwahiyo kwakua ulimla huyo bidada kana kwamba hadi alikutusi na kumpa mume wake number mwanzoni, na ukatishwa vikali, basi ukaona oooh yes nimeshamaliza na wanawake wote wako hivi, si ndivyo eeeeh?
Wee Dr unajidanganya wapo wanawake wanaoweza kujisimamia wenyewe pasipo kutegemea mtu wa pembeni, mbna kitu real hiki, wee una kataa nn sasa? Unasema WACHA MUNGU tu ndo ambao huwawezi.
Nakuambiaje wapo watu ambao hawana misingi ya imani kihivyo, ila huwezi kumgusa kamwee, ni suala la mtu binafsi juu ya maamuzi yake ktk uwanja wa mahusiano.
Acha kuwa mbishi wee, khaaaah
Sent from my Infinix X652C using
JamiiForums mobile app