Waambie hao na akili iwakae, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jiangalie usije ukawapa hasara wazazi wako
 
Mmmh, kwenye biblia unasoma mafungu gani kaka, unisaidie na mimi nianze kusadiki katika uvumilivu.
 
Mmmh, kwenye biblia unasoma mafungu gani kaka, unisaidie na mimi nianze kusadiki katika uvumilivu.
Halafu mimi siyo mtu wa dini kabisa, nadhani nikekuwa mtu wa dini basi ningekuwa paroko mmoja mzuri sana.

Nadhani ni kitu ambacho kipo kwenye damu nimerithi kutoka kwa wazazi. Mshua huwa ananipa story za ujana wake wala hazina tofauti kabisa na zangu pia matukio mengine niliyashuhudia mwenyewe kwa macho yangu.

Mwaka jana nilipanga kuwa mwaka huu nianze kuwa dunga dunga ila naona mwaka unakatika ila sioni mabadiliko😀😀😀. Ni kitu ambacho kipo ndani ya DNA.
 
Una roho nzr sana mzee, huyo mdada atakukumbuka milele
 
Mnanikumbusha jamaa flani viwandani huko alikua anamlipia demu msosi kwa bill mwezi mzima na hajawahi mwambia kama anamtaka, basi baadae ushapita mwezi akamwambia demu akawa anamzungusha akaja kugundua demu ana mshkaji mwingine kidogo apigane eti kwanini umekula akaambiwa nilikuomba. Mpaka kesho hajala mzigo muache kujipendekeza kutoa hela kwa mtu hamna hata makubaliano.
 
Kunywa soda nakuja kulipia
 
Kabisa wana kaufala ka ajabu sana. Kama hutaki kuliwa basi usile hela ya mwanaume. Ukila hela ya mwanaume ujue kuombwa mbususu ndicho kinachofuata.
Bosi kikwete alisema kama unataka kula lazima uliwe sasa huyu anataka kula hataki kuliwa.
 
Mwamba umeongea fact ya maana sana,sex co kwamba ndo Kila kitu ishu kupata mtu ambae iternal hisia zinaendana before sex and everything,kiukwel unahitaj kua na akil ya ziada kutambua hili unalolizungumzia coz ni wachache sana wanawake wanaojal utu wao kama sio kutoa papuch ili waonekane wanaenda na wakat,sex Ni ziada lakn utu Kwanza,binafc sishobokei sana sex coz najua nikihitaji hasa kwa mazingira yangu ninayofanyia kazi( tunduma)mpemba najua madreva wa marol wanapajua vizur Ni rahisi kupata mtu wa kulala nae kuliko kupata hata msosi
 
utarogwaa ohooo
 
sahihi mkuu tatizo ua siwaamini sana hawa viumbe nadhani ntainjoi pale ntapopata angalau wakunishawishi kwa tabia
 
Sawa acha niitwe jangili lakini huwezi jua niliepuka vitu vingapi usiku ule ikiwemo magonjwa na hata kifo!!! Je kama jamaa hakuwa mtu mwema ningejuaje.
Ulifanya la maana sn wenye maono ya mbali watakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…