Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Hapo ndipo mnapokwama kabisa..
Mtu hujamtongoza, hakuna makubaliano yoyote ya kwamba mnaenda kunyanduana ww kwa kiherehere chako na udomo zege wa kukariri mambo unaanza kutoa hela kumpa mwanamke na unaanza kumnunulia vitu ovyo mbaya zaidi hajakuomba unategemea atakupa tu papuchi..

Acheni kuishi kwa kukariri, kama ulimpata mwajuma kwa staili hyo usitegemee kumpata mwanaisha kwa njia hyohyo. Muwe mnasoma alama za nyakati
Waambie hao na akili iwakae, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nililala na demu siku 4. Siku ya kwanza ndo nilipata tabu kidogo ila baadae ikawa kama nalala na ndugu yangu tu. Mimi linapokuja suala la ngono huwa nipo selective sana, naweza pata hisia za kula ila akili inaniambia tulia wewe.
Nikiingia kwenye mahusiano mapya naweza kaa hata miezi 3 sijaongelea maswala ya kuomba show.[emoji3][emoji3][emoji3]
Jiangalie usije ukawapa hasara wazazi wako
 
Mimi nililala na demu siku 4. Siku ya kwanza ndo nilipata tabu kidogo ila baadae ikawa kama nalala na ndugu yangu tu. Mimi linapokuja suala la ngono huwa nipo selective sana, naweza pata hisia za kula ila akili inaniambia tulia wewe.
Nikiingia kwenye mahusiano mapya naweza kaa hata miezi 3 sijaongelea maswala ya kuomba show.[emoji3][emoji3][emoji3]
Mmmh, kwenye biblia unasoma mafungu gani kaka, unisaidie na mimi nianze kusadiki katika uvumilivu.
 
Mmmh, kwenye biblia unasoma mafungu gani kaka, unisaidie na mimi nianze kusadiki katika uvumilivu.
Halafu mimi siyo mtu wa dini kabisa, nadhani nikekuwa mtu wa dini basi ningekuwa paroko mmoja mzuri sana.

Nadhani ni kitu ambacho kipo kwenye damu nimerithi kutoka kwa wazazi. Mshua huwa ananipa story za ujana wake wala hazina tofauti kabisa na zangu pia matukio mengine niliyashuhudia mwenyewe kwa macho yangu.

Mwaka jana nilipanga kuwa mwaka huu nianze kuwa dunga dunga ila naona mwaka unakatika ila sioni mabadiliko😀😀😀. Ni kitu ambacho kipo ndani ya DNA.
 
kuna dem na dem ambae unamsaidia halafu kamani papuchu aje akupe yeye kwa hiyari yake.kuna mtoto mmoja nilishawai kumsaidia tu kwa nilichoweza kiasi cha kurisk vitu nilivyokua navyp geto lakini sikujali.

alikua mtoto flani aged kama 16yrs hivi.inavyoonekana alikua ametoka kwao(mkoani) kuja kutafuta kazi yoyote hapa mjini pasipo kumjua mtu yoyote(japo sina uhakika kama hakuwai kuishi dar kabla).

siku hio alifika kwenye nyumba ambayo kwa asilimia 99 tuliopanga ni vijana.alipofika akaanza kumuulizia mtu/jina la mtu ambae kwenye ile nyumba hatambuliki.basi mimi nkaenda zangu kazini ilikua shift ya mchana kwahio sikujua nini kiliendelea.

wakati narudi mida ya kama sa tano na nusu usiku namkuta yule dem amelala nje kajibanza kwenye kikolido flani na baadhi ya wapangaji ni wadada, walichomsaidia ni kumpa kanga tu yakujifunika(nadhani walihofia kulala na mtu ndani wasiomjua).mbu walikua wengi nkamuonea huruma.

nikamwambia twende ukalale chumbani kwangu alisitasita nkamlazimisha akakubali,na ni kweli yale mazingira alipolala yalikua magumu.tulipofika ndani nkawaza tulale wote nimle?
hapana huruma ilinijia kwa kuwaza kua huyu ana shida kwahio anaweza akaridhia kufanya chochote kwasababu tu hana namna,kwaio haitokua jambo jema kwa mtu unaejali ubinadamu.

kiukweli nilimwambia aende akaoge,akaenda akarudi nkampa chakula nilichokua nimepika akala.nikamwambia wewe sasa lala hapa mim naenda kulala chumba cha nyuma(kwa jamaa angu tunaefanya nae kazi).
basi na mimi nikala nikabadilisha nguo mbaka natoka mule ndani yule binti alikua ameshalala inaonekana alikua na usingizi sana.

kwa kuhofia kumsumbua ilinibidi nifunge mlango kwa nje,japo asubuhi yeye aliniambia ulidhani ntakuibia nikitoka(ilikua katika hali ya utani).
nashukuru kuna mdada mmoja anafanya kazi yakuuza chakula katika mgahawa wake akamchukua ili aanze kushinda nae na akampeleka awe analala kwa rafiki ake mtaa mwingine

sijajua mbaka sasa anaendeleaje kwasababu nilikuja kuhama mwezi mmoja baadae pale nilipokua kutokana na vibarua vyetu.
Una roho nzr sana mzee, huyo mdada atakukumbuka milele
 
Mnanikumbusha jamaa flani viwandani huko alikua anamlipia demu msosi kwa bill mwezi mzima na hajawahi mwambia kama anamtaka, basi baadae ushapita mwezi akamwambia demu akawa anamzungusha akaja kugundua demu ana mshkaji mwingine kidogo apigane eti kwanini umekula akaambiwa nilikuomba. Mpaka kesho hajala mzigo muache kujipendekeza kutoa hela kwa mtu hamna hata makubaliano.
 
Kati ya mambo yanayo fanya nisipende shibo na wanawake Ni haya Kama sio aibu basi fedhea .[emoji3][emoji3][emoji3] Ndio maana Mimi kumchekea mwanamke Hadi nione yeye mwenyewe kaonesha njia ya machinjioni Mimi Ni kumalizia tu bila kutumia nguvu.[emoji39][emoji39]

Wanaume tupunguze shobo . ..... Ona sasa vihela na muda wa mchizi umepotea kizembe tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kunywa soda nakuja kulipia
 
Kabisa wana kaufala ka ajabu sana. Kama hutaki kuliwa basi usile hela ya mwanaume. Ukila hela ya mwanaume ujue kuombwa mbususu ndicho kinachofuata.
Bosi kikwete alisema kama unataka kula lazima uliwe sasa huyu anataka kula hataki kuliwa.
 
Tunatofautiana mkuu, mimi sex ni kitu kidogo sana kwenye mahusiano. Huwa naenjoy zaidi zile moments za kuwa pamoja zaidi kwa sababu sex unaweza pata hata kwa malaya lakini kupata mtu ambaye kwa pamoja mtaunganisha hisia zenu si mtu ambaye unaweza kumpata popote.
Mwamba umeongea fact ya maana sana,sex co kwamba ndo Kila kitu ishu kupata mtu ambae iternal hisia zinaendana before sex and everything,kiukwel unahitaj kua na akil ya ziada kutambua hili unalolizungumzia coz ni wachache sana wanawake wanaojal utu wao kama sio kutoa papuch ili waonekane wanaenda na wakat,sex Ni ziada lakn utu Kwanza,binafc sishobokei sana sex coz najua nikihitaji hasa kwa mazingira yangu ninayofanyia kazi( tunduma)mpemba najua madreva wa marol wanapajua vizur Ni rahisi kupata mtu wa kulala nae kuliko kupata hata msosi
 
Mwaka jana tu nilikuwa naenda mkoa flani sikuwahi kufika kule. Pembeni yangu nilikaa na kaka akaniambia ni mwenyeji kule ninapoenda. Tukawa tunapiga story za hapa na pale tukazoeana. Njia nzima tukawa tukishuka kupata chakula analipia yeye, safari ilikuwa ndefu sana. Basi kufika njiani bus lilipata shida ikasababisha tufike tunakoenda saa4 usiku.

Yule kaka aliniambia ana familia akaenilekeza lodge ili nikalale pale kesho asubuh nielekee ofisi nilokuwa naenda. Akachukua no ya simu. Ila akasema tukifika atapeleka mzigo kwake then atakuja pale lodge ahakikishe kama nimefika salama, nikasema poa. Akanipa hela ya room.

Tukashuka akachukua boda fasta akasepa. Nami nikachukua boda ghafla nkawaza huyu kaka nikikaa vibaya atakuja kunila kimasihara. Basi nkamwambia boda nipeleke lodge nzuri nikalale. Boda akanipeleka lodge nyingine kabisa kufika nikaona jina sio lile alonielekeza yule kaka. Nkasema poa!!!! Nikachukua room.

Baada ya dk 20 yule kaka kapiga simu nipo nje upo room no ngapi? nkamwambia no.... akasema poa nakuja...nikazima simu nikalala. Asubuh kuwasha simu ziliingia text kama 10 za matusi mfululizo, sikumjubu wala!!!!!! daaah wanaume nyie basi tu.
utarogwaa ohooo
 
Tunatofautiana mkuu, mimi sex ni kitu kidogo sana kwenye mahusiano. Huwa naenjoy zaidi zile moments za kuwa pamoja zaidi kwa sababu sex unaweza pata hata kwa malaya lakini kupata mtu ambaye kwa pamoja mtaunganisha hisia zenu si mtu ambaye unaweza kumpata popote.
sahihi mkuu tatizo ua siwaamini sana hawa viumbe nadhani ntainjoi pale ntapopata angalau wakunishawishi kwa tabia
 
Sawa acha niitwe jangili lakini huwezi jua niliepuka vitu vingapi usiku ule ikiwemo magonjwa na hata kifo!!! Je kama jamaa hakuwa mtu mwema ningejuaje.
Ulifanya la maana sn wenye maono ya mbali watakuelewa.
 
Back
Top Bottom