Mkuu tenda wema nenda zako utalipwa na Mola
 
Hizo all preventive measure ni zipi mkuu,,,,????
 

Mapenzi ya kifiphilipino bongo wapi na wapi? Mi siku hizi namwona pisi tunapeana namba siku tunaonana na kulala siku iyo iyo na ndo trend kwangu mimi kwa sasa Ndio mana nimeshangaa hii procedure yako. Kua makini man. Hawa viumbe sio wa huruma kuonea, tafuna chap ukimlea,anakuzoea, unamlisha mwingine anadoea.
 
Kizazi cha sasa kimeathirika sana kimtazamo, labda kwa kuwa mahusiano yamekuwa na changamoto nyingi hivyo watu wanaamua kuwahi kufikiri kuhusu ngono ili kama ikitokea wakaachana basi awe ameshachakata papuchi na ndiyo maana ukionrkana hauweki mbele ngono unaonekana labda una shida fulani, kitu ambacho si kweli.
 
Nadhani kuna misconception hapo, kutoweka mbele ngono haimaanishi mapenzi ya kifilino au ni kutoa kafara hisia. Ni kwamba nilijifunza kujipenda mwenyewe kwanza na kutambua msingi wa furaha yangu uko wapi na hakuna mtu anaweza kucheza na mimi katika hilo, huwa sina huruma na mtoto wa mtu katika hilo. Hii imenifanya nipendwe sana kupitiza.

Kwa sasa siwezi kuteswa kihisia na mtu ambaye kabla ya kukutana naye nilikuwa na furaha kwa maana ya kuwa yeye si chanzo cha furaha yangu. Iliwahi kutokea mara moja kwa demu wangu wa kwanza kitu ni kawaida kwa kila anayeanza mahusiano.

Ustaarabu si udhaifu.
 
sahihi mkuu tatizo ua siwaamini sana hawa viumbe nadhani ntainjoi pale ntapopata angalau wakunishawishi kwa tabia
Mazingira ya sasa hivi ni magumu sana linapokuja swala na mahusiano kwa hivyo kwa namna fulani awaunga mkono wachakata kila papuchi inayopita mbele yetu, cha msingi ni kuwa makini na STDs. Ila kwa mimi, my dick is too pricey to fvck cheap ass pussies.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umetisha zaidi kwenye mstari wa mwisho
 
Unahangaika na mtu mwenye upungufu wa nguvu za kiume?mtaani kwetu wapo wawili wa hivi,akipiga mzigo leo basi hawezi tena hadi mwezi uishe na majibu yao ndio Kama haya,oo siwazi Sana ngono
 

Lakin wazee msisahsau kuwa yan ukiacha haya mnayoyasema mwanaume moja ya kitu anachopenda kwa mwanamke ni sex yan hili bila ubish, sikatai unaweza abstain for sometimes yes lakin wengi wetu nimeona mtu anaweza kusubir na anita huku anajipooza na salima, Kama sex ni part ndogo kuliko vyote kwanini hii kitu ndio inaongoza kuvunja ndoa za watu ? kama sex i sehemu ndogo tu kwanini mtu anapoenda kuitafuta sehemu nyingine inakuwa tatizo ? Mkeo ukimkamata kwa ushahid katombwa nje utaendelea nae ? Unaweza ukamwoa mwanamke bila kufanya nae mapenz hata siku moja ? All in all Wanaume huwa wanapenda sex yan Moja kwa moja..
 

Umeni quote vibaya mimi nime base kwamba hawa viumbe na sio wote Ila percent kubwa kwa sasa wanaona kupitia kile kipochi manyoya wanaweza ku open doors kwa fursa tofauti Ndio mana mim kwa upande wangu naishia kuwala wengi siku iyo iyo ya kwanza kuonana.
Kwaio wewe ukisema una take your time wanaweza kukudharau na kukuona huna sumu huku wale wasiochelewesha wanapiga nao, punguza hiyo hasara bro haswa kwa mtu ulie na malengo nae, watakufyekea mno wenye uharaka wa kula mzigo.
 
Ndiyo maana mimi ni muumini wa kushusha mabao. Vibao vya kuku ila vingii, kwanza mwanamke hakinai, pili raha ya mechi bao.
 
Jana nimepumzika Hotel fulani Mkoa fulani ilivyofika mida ya saa 12 jioni ikaingia call kwenye simu yangu nilivyopokea Hello akagundua aliyempigia simu ni mwingine ambaye yeye alilenga kumpigia mwanamke (Hapa sijui kama ulikuwa ni ujanja wa kutafuta wanaume au la). Akaniuliza mwenye simu yupo wapi nikamwambia mie ndio mwenye simu. Akahamaki nikamwambia angalia jina kupitia M pesa basi kweli akafanya hivyo na kuniomba samahani kwa njia ya sms. Nikamuuliza upo wapi akataja mkoa bahati namimi ndio nipo Mkoa huo. Nikamuuliza upo mjini maana Mkoa ni mkubwa akasema ndio.
Tulichati sana mpaka nikamuomba tuonane sehemu fulani kiwanja kipya. Huyu nilivyopiga nae story ni staff wa NGO fulani inayo deal na mambo ya afya.
Basi tukakubaliana tukutane bar flani na mimi ndio nilitangulia kufika pale. Baada ya 1hr nae akawa amefika.
Dah dem flani sura ya baba sura mbaya, ziwa kama ziwa Victoria yaani kubwa, shapeless, hana mkia kabisa mzigo umehamia kifuani [emoji28][emoji28][emoji28], baasi alivyofika nikamkaribisha akaagiza Savanna. Baada kama dk 20 nikajifanya nimepokea simu kwamba kuna dharura natakiwa faster niende kumbe ndio napanga kukimbia [emoji28][emoji28][emoji28]. Nikamuita muhudumu nikalipa ile moja then mwanamke nikamuachia hela ya Savanna 3. Nikaondoka zangu ananiuliza vipi unakuja nikamwambia siwezi kwakuwa nina dharura kumbe nimekimbia ndio ikawa imetoka hiyo. Kwenye chats zetu niliweka mazingira ya kula mzigo ndio maana alitaka nikapige.

Hii mie ni mara ya pili kukimbia demu wa style kama hiyo.
Kwakweli mie demu mzuri naanza na reception, figure, usafi nk. Akiwa tofauti siwezi hata kidogo.
 
Ndiyo maana mimi ni muumini wa kushusha mabao. Vibao vya kuku ila vingii, kwanza mwanamke hakinai, pili raha ya mechi bao.
Yeah! Sio uongo ila inategemea na mtu mwenyewe kuna mwingine bila kusimamia kucha hakuelewi kabisa, ila hata ki afya style yako ni bora zaidi in case of emergency kama condom kupasuka hakupi stress san
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…